kuna tetes et robo ya walimu sekondari wanafundisha somo la kiswahili na historia je wadau leten ukweli hapa jamvini
kuna tetes et robo ya walimu sekondari wanafundisha somo la kiswahili na historia je wadau leten ukweli hapa jamvini
ngoja nikafanye ka utafiti ntakuja kukupa jibu!!
sasa kinakushangaza kitu gani kama ni robo tu
which means robo nyingine kiingereza na geo
robo nyingine physics na hesabu
robo nyingine chemistry na bios
AMBAPO UNAKAMILISHA NZIMA YAANI 4
SASA AJABU LIKO WAPI?????
umemuweza
Sio robo ni nusu ya Walimu wote wanafundisha kiswahili na History uhaba ni walimu wa kingereza na science.
mwalimu wa sayansi shule za kata vipindi 34 na kuendelea ila mwalimu aliyesoma hiyo kiswahili na history vipindi 6 mpaka 10 kwa wiki mwisho wa mwezi mshahara sawa dah kwel haki ni kwa mungu c duniani
sasa kinakushangaza kitu gani kama ni robo tu
which means robo nyingine kiingereza na geo
robo nyingine physics na hesabu
robo nyingine chemistry na bios
AMBAPO UNAKAMILISHA NZIMA YAANI 4
SASA AJABU LIKO WAPI?????
Nimebaki tu nashangaa, eti huyu nae kakaa kwenye kiti umfundishe aelewe
eeeh mungu tujalie walimu nguvu za ziada