Et Huyu Ndie Rais wa Marekani .....

Et Huyu Ndie Rais wa Marekani .....

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
1056_456859921044118_1843580830_n.jpg
 
Kwani tatizo nini mbuzimzee au unamuona kimbuzimbuzi/ Huyu ndiye mwenyewe jaduong maduong Obama wa Bamiza wa Kogelo akiwa na kimwana chake kule Kenya. Kweli ya kale dhahabu.
 
US ni US kutokana na mambo mawili makubwa: Kwanza, ni nchi iliyojengwa na inayoendelea kujengwa na wahamiaji; Pili, ni American exceptionalism, anyone can become anyone/you can be all you wanna be if you work hard, and this is impossible elsewhere in this world; Kwahiyo Obama is an exemplary of that;
 
Mbona kidogo afanane na chali yangu mmoja hivi alipokuwa bwana mdogo kabla ya kwenda jeshini
 
Wabeba maboksi wa Tanzania wakija nyumbani wengi wao wanaishia mijini huwa hawaendi kutambika vijijini kwao. Obama hapo enzi za shule kaja kuchukuwa maujanja kwa bibi zake.
 
US ni US kutokana na mambo mawili makubwa: Kwanza, ni nchi iliyojengwa na inayoendelea kujengwa na wahamiaji; Pili, ni American exceptionalism, anyone can become anyone/you can be all you wanna be if you work hard, and this is impossible elsewhere in this world; Kwahiyo Obama is an exemplary of that;

Ni kweli mkuu,wenzetu wanatambua karama ya mtu pasi ya kuangalia rangi yake bali nini ancho kichwani kwa ustawi wa nchi,na wamefanikiwa kuwa walipo kwasababu ya kumpa kila mtu nafasi ya kuonesha uwezo wake...!
 
Mbuzi Mzee bwana anawaza hapo Obama atayashusha saa ngapi hayo majani aliyobeba aanze kuyakandamiza.
 
Mbuzi Mzee bwana anawaza hapo Obama atayashusha saa ngapi hayo majani aliyobeba aanze kuyakandamiza.

Ewaaa, Mkuu umenielewa kisawa sawa, kumbe picha nazo ni somo :A S 100:
 
Mjaluo kapiga kitu cha Reebok! Wajaluo wanatamani wakipata hicho kiatu ili wakiweke makumbusho ya pale Kogelo.
 
Wabeba maboksi wa Tanzania wakija nyumbani wengi wao wanaishia mijini huwa hawaendi kutambika vijijini kwao. Obama hapo enzi za shule kaja kuchukuwa maujanja kwa bibi zake.

Hilo nalo NENO mkuu! Maisha sio mjini tu hata kijijini yapo!
 
wengine vijiji wanaviona kwenye movie za kibongo na maisha plus. We have bocome very fake, tunajidanganya hadi sisi wenyewe
 
Back
Top Bottom