ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,489
- 88,630
Hakuna cha mkeka mkali ,standard ni moja mwanzo mwisho kuanzia mpaka wa Iringa na moro had igawa na sijui itafika lini Mbeya japo kwa sasa rehabilitation imekomea igawaIyovi mafinga walijitahidi.. japo kuna maeneo walizingua.. ila ni moja ya barabara za kimataifa tanzania. Mafinga igawa iliyo zinduliwa na magufuli juzi ni balaa.. ni mkeka mkali kuliko yote tz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishawahi kufanya nao kazi?
Kampuni zote zinajenga vizuri ila ukiritimba na rushwa. Teni percent ndo vinaaribu kazi za watu, angalia gorofa za UDOM crek balaa tupu 10% ilitumika hapo, kitu kingine kinacho haribu ni bajeti ndogo inayotengwa kwa kazi yenyewe mfano hostel za UDSM unaambiwa jengo joint inapumua
Na mwenge tegeta vipKama ndio welijenga Tangibovu - Goba - Mbezi basi hawa jamaa wapo vizuri.
Nikipita ile barabara huwa naikubali sana.
Kati ya barabara ambazo zilijengwa kwa ubora sana mpaka sasa,ni Chalinze Moro,haina mpinzani,Malendi,Igunga mpaka NzegaIyovi mafinga walijitahidi.. japo kuna maeneo walizingua.. ila ni moja ya barabara za kimataifa tanzania. Mafinga igawa iliyo zinduliwa na magufuli juzi ni balaa.. ni mkeka mkali kuliko yote tz.
Sent using Jamii Forums mobile app
MM STEEL yeye ndio huwaconect wahindi wenzie kwa viongozi wa serikali na kuwadhamini mitaji ya miradi mbali mbali au biashara,hata Giri wa estim kabebwa sana na Subashi, wakati huo akiwa konoike ya kenya, baadaye akaja Tanzania pamoja na yule muhindi wa Moshi,SonsUwongo mtupu, Estim ni kampuni ya akina Patel wenye MM.steel, Kiwanda cha Sayona, hoteli za Whitesands na Sea Cliff. Tena katoa udhamini kwa Taifa Stars wakae Whitesands wakijiandaa kwenda Misri pia Patel ni swaiba wa MZEE wa Msoga walisoma pamoja Lugoba zama hizo.
acha uongo hiyo imejengwa na konaike,na inamuda mrefu tu karibia miaka20Barabara ya Makuyuni mpaka Karatu
Duh aisee,huijui hiyo barabara aiseeacha uongo hiyo imejengwa na konaike,na inamuda mrefu tu karibia miaka20
Unamaanisha kuwa hiyo M katika hilo jina la kampuni ni kifupi cha jina la aliyekuwa mheshimiwa waziri wa ujenzi? Umesikia wapi kama si umbea? Kama ni umbea usilete humu JF.Nasikia mmoja wa wamiliki wa kampuni hiyo aliwahi kuwa waziri wa ujenzi na hasa alisifika kwa unyapara katika kusimamia ujenzi wa barabara
Wamekulipa kiasi gani mkuu kwa hii promo?
Jamaa kazungukazungukaaaa, akifikiri watu wote hawajui kusoma.Wamekulipa kiasi gani mkuu kwa hii promo?
unawaza hayo tuWamekulipa kiasi gani mkuu kwa hii promo?
Kwasasa ni RaisiNasikia mmoja wa wamiliki wa kampuni hiyo aliwahi kuwa waziri wa ujenzi na hasa alisifika kwa unyapara katika kusimamia ujenzi wa barabara
Hii barabara imejengwa ktk viwango vya chini sana. Kwa Nchi makini hawa wajenzi hawakustahili kulipwa.Ila waliojenga barabara ya Dodoma Iringa ni shida barabara imeanza kuwekwa viraka hata miaka 3 haijafika!