Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,372
- 111,695
Kamanda Esther ni mwanamke wa shoka. Bunda ni yake 2015
kwani kashatangaza nia?
Kamanda Esther ni mwanamke wa shoka. Bunda ni yake 2015
She is Tanzania one for sure! Naunga mkono hoja. Wasimcheleweshe aongeze harakati na kuimaliza CCM.Anakuja kwa kasi majuma machache tu baada ya kujiunga na chama 'dume' la demokrasia.