Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Mtiania wa ubunge wa Tarime Mjini, Mkoa wa Mara, Esther Matiko akijitambulisha kwa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi (CCM) jana Ijumaa, Agosti 1, 2025 kabla ya kura za maoni.
Matiko amewahi kuwa mbunge wa Viti Maalumu na mbunge wa Tarime Mjini kupitia Chadema. Kwa sasa anawania breathe hiyo mdani ya CCM.
Kura za maoni kwa watiania ubunge zitafanyika Fridayatu ya Agosti 4, 2025 nchi nzima.