Esther Matiko amuuliza mgombea Uspika swali la kizushi, adai hawezi kujibu

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Mbunge wa Tarime Mjini Esther Matiko alipata nafasi ya kumuuliza swali Mgombea nafasi ya Uspika wa bunge la Jamuhuri la Muungano wa Tanzania, Anitha Alfan Mgaya kutoka chama cha National League for Democracy (NLD) ataje aina ya makundi manne ya wabunge wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania lakini Mgombea huyo alijibu hapana hatopenda kujibu swali hilo

Kuna watu walivumisha uvumi etii Esta bulaya na Tarimba wamefariki
 
Mbunge wa Tarime Mjini Esther Matiko alipata nafasi ya kumuuliza swali Mgombea nafasi ya Uspika wa bunge la Jamuhuri la Muungano wa Tanzania, Anitha Alfan Mgaya kutoka chama cha National League for Democracy (NLD) ataje aina ya makundi manne ya wabunge wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania lakini Mgombea huyo alijibu hapana hatopenda kujibu swali hilo

Yaani Mpumbavu anamuuliza swali la Kizushi Mjinga?
 
Mbona jibu rahisi sana, huyo naye kilaza tu
1. Walioiba uchaguzi
2.Walioteuliwa na aliyeiba uchaguzi
3. Waliojipatia ubunge bwerere/dezo kwa sababu jinsia yao ni ya kike na uchaguzi uliibwa
4. Wanzanzibar
 
Ndo shida ya Ubunge wa kubebwa.

Sasa mgombea anakataa kujibu swali la Wapiga kura halafu anategemea wamchague?
 
Back
Top Bottom