Chadema mbali na kukimbiwa na watu ila ina vyuma aisee..Hapo BAVICHA sasa. Kiufupi CCM waliyasajili yale makapi ila waliobaki ni moto wa kuotea mbali. Kila idara ni vyuma tupu..Acha Mashinji na Safari wakapumzike maana hawana nafasi kwa hili chama kwa sasa.Honestly, I like Esther Matiko, Ester Bulaya, Halima Mdee and the like. They are the iron ladies and the heart of CHADEMA!
Sasa hawa ukija kulinganisha na mtu kama Juliana Shonza ndio utakapo juwa tofauti kati ya mbwa wa kufuga na Simba mwituni.Honestly, I like Esther Matiko, Ester Bulaya, Halima Mdee and the like. They are the iron ladies and the heart of CHADEMA!
Unamuona tu mbowe mbona magufuli humuongelei.Mbowe is smarter!
Aisee.....!!Sasa hawa ukija kulinganisha na mtu kama Juliana Shonza ndio utakapo juwa tofauti kati ya mbwa wa kufuga na Simba mwituni.
Pia hawakunga mkono juhudi za mtukufuHonestly, I like Susan Kiwanga, Esther Matiko, Ester Bulaya, Halima Mdee and the like. They are the iron ladies and the heart of CHADEMA!
Ti nundu! Cjaelewa ninini, msaada yafadhari . Nundu? Ha ha haamepewa sababu ya nundu yake ila hana lolote
Acha ujinga weweEstar amepewa sababu ya nundu yake ila hana lolote
State agent
Habari mpya ni kuwa Ester Matiko kamshinda John Heche kwa kura 44 dhidi ya 38.
Hakika uchaguzi ulikuwa moto na Chadema ni imara sana.
Wapiga kura 82 tu?........kweli Chadema ni chama kidogo!Habari mpya ni kuwa Ester Matiko kamshinda John Heche kwa kura 44 dhidi ya 38.
Hakika uchaguzi ulikuwa moto na Chadema ni imara sana.
Bahati mbaya kwako wote hao wameolewa.Honestly, I like Susan Kiwanga, Esther Matiko, Ester Bulaya, Halima Mdee and the like. They are the iron ladies and the heart of CHADEMA! Ningekuwa karibu nao, kwa wasioolewa, ningemuoa mmojawapo. Ha ha ha ha ha ha