Esther Matiko amshinda John Heche nafasi ya Mwenyekiti kanda ya Serengeti

Honestly, I like Susan Kiwanga, Esther Matiko, Ester Bulaya, Halima Mdee and the like. They are the iron ladies and the heart of CHADEMA! Ningekuwa karibu nao, kwa wasioolewa, ningemuoa mmojawapo. Ha ha ha ha ha ha
Wanaume nao sijui huwa wanaangaliaga nini wakati wa kuoa. Ina maana kweli hawa hawajaolewa na uzuri wao wote huo? Maana niwazuri kimaumbile, kiakili, kiuongozi na kiroho
 
Peleka maombi tu ucjal waweza kufanya hata nyumba ndogo
Honestly, I like Susan Kiwanga, Esther Matiko, Ester Bulaya, Halima Mdee and the like. They are the iron ladies and the heart of CHADEMA! Ningekuwa karibu nao, kwa wasioolewa, ningemuoa mmojawapo. Ha ha ha ha ha ha
 
Honestly, I like Susan Kiwanga, Esther Matiko, Ester Bulaya, Halima Mdee and the like. They are the iron ladies and the heart of CHADEMA! Ningekuwa karibu nao, kwa wasioolewa, ningemuoa mmojawapo. Ha ha ha ha ha ha
Mwanasheria msomi. Najua ninyi wasomi hufanya utafiti na kukosoa utafiti. Ila kuna mambo mawili mwenzio yananipa shida sana kwamba niamini tafiti au niamini ninachokiona kwa macho na kikisikia kwa masikio yangu. Ni hivi: Miezi kadhaa iliyopita kuna taasisi moja inaitwa TWAWEZA ilifanya utafiti juu ya haiba na sifa za wananchi wenye mrengo wa siasa za upinzani na siasa za chama tawala. Mojawapo ya matokeo ya utafiti huo ni kwamba wananchi wenye ambao ni wanachama wa vyama vya upinzani ni wale wenye elimu nzuri, wanaoishi mijini, wenye uelewa mzuri wa mambo, vijana wasomi na wenye elimu ya kati, wanaojua kinachoendelea duniani, wenye kujiweza angalau kiuchumi, na mambo ya namna hiyo. Kwa upande wa CCM ilionekana kwamba wanachama wake wengi ni maskini, wana elimu duni, wanaishi vijijini, uelewa wao wa mambo upo chini, n.k. Cha ajabu, hivi karibuni ulifanyika ilitakiwa ufanyike uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa nchi nzima, lakini maeneo mengi uchaguzi haujafanyika kwani wagombea wengi wa upinzani zaidi ya 90% walienguliwa kwa kushindwa kujaza vizuri fomu za kuomba nafasi hizo, kutojua kusoma na kuandika, kushindwa kuandika kwa usahihi jina la chama chake, mtaa wake, n.k. Wakati huo huo wagombea wengi wa CCM walionekana wako vizuri sana na wamefaulu 'mitihani' yote ya huo uchaguzi. Je, niamini tafiti au kile ninachokiona na kukisikia? Inakuwaje utafiti useme hivi na wasimamizi wa huu uchaguzi waseme wagombea wa upinzani hawawezi hata kuandika jina la mtaa wao?
 
Esther Matiko 44
John Heche 38

Hongera Mwana mama Esther Matiko

Hata hivyo John Heche ni kati ya Wanasiasa wachache sana ninaowahusudu Tanzania!

Kiasi siwezi kutilia shaka ujasiri na uzalendo wake kuhusu siasa za Tanzania.

Naamini ni kiongozi mkubwa ajaye.
 
Esta soon mbowe atamfikia ,hii rushwa ya ngono inaitafuna chadema baada ya Joyce mukya na mbowe ,Rose kamili na slaa sasa ni kutafunana


State agent
Ila Jiwe kumpa madaraka Jokate sio rushwa ya ngono, kumpa madaraka shonza sio rushwa ya ngono, acha ujinga au unataka mbowe akojolee kwako nini maana unawashwa washwa sana na Mbowe.
 
Honestly, I like Susan Kiwanga, Esther Matiko, Ester Bulaya, Halima Mdee and the like. They are the iron ladies and the heart of CHADEMA! Ningekuwa karibu nao, kwa wasioolewa, ningemuoa mmojawapo. Ha ha ha ha ha ha
Nilimsikia Mchungaji mmoja akiwananga Waumini wake kwamba unakuta Watu wanafunga kwa maombi wapate Wachumba Wazuri, Wacha Mungu, Wachapa kazi n.k sasa ndio akahoji "je wewe upo hivyo?"
 
Heche unatia aibu unashindwa na mwanamke
Kwani walikuwa wanashindana kubeba magunia? Mbona Amina Salum Ally alimgaragaza Jiwe pale Dodoma? Ila kwa vile alipokuwa anaomba kura alisema atashirikiana na mamvi wakaona huo nao moto! Akapewa jiwe
 
Inaonekana "Uenyekiti wa Kanda" una hadhi ya kipekee ndani ya chama.

Katika hali ya kawaida, Esther asingem'challenge' Heche ambaye alikuwa anatetea kiti, tena kwa ufanisi (katika macho ya watazamaji wa nje). Bila shaka wapiga kura watakuwa wamepata wakati mgumu sana kumchagua mmoja kati ya hawa viongozi mahili wawili.

Matumaini yangu ni kwamba Mh Heche hatakuwa na kinyongo kuhusu hili. Bila shaka nafasi yake ndani ya Chama itazidi kuheshimiwa na kupewa majukumu mengine. Chama kinawahitaji sana viongozi wa aina yake.
Kabisa..mkuu nimebahatika Kuona post yake anasema anawapongeza wote walioshinda na mapambano yanaendelea..ameonesha ukomavu mzuri wa kisiasa na ninaamini atashirikiana vizuri na mwenyekiti...kwasababu nafasi na ushawishi wake ndani ya chama ni mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom