Esther Matiko amshinda John Heche nafasi ya Mwenyekiti kanda ya Serengeti

Esther Matiko 44
John Heche 38

Hongera Mwana mama Esther Matiko.
Nawapongeza wote wanafaa, pongezi za kipekee zimfikie huyo mwanadada Esther Matiko, she deserve to be there. Amepewa zawadi ya kukaa gerezani. Tuache kuwafunga wapinzani ni watu wema sana Kwa nchi yao.
 
Yule dada nakumbuka mm nipo first year yeye yupo second year pale UDSM Mabibo hostel, landmark hotel palikuwa nyumbani kwetu...Ila siku hizi uso wake unahorojeka sijui ni nini na sijawahi pima toka enzi hizo basi balaa tupu!
Mhuuuuum kumbe ulishawahi mtamani Juliana?Pale Chadema alikuwa chakula ya nani ?
 
Wapiga kura 82 tu?........kweli Chadema ni chama kidogo!
Unaweza ukaonekana mzushi kwa baadhi ya watu, lakini idadi hiyo ya wajumbe ni ndogo sana kuchagua kiongozi mzito kama mwenyekiti wa kanda wa chama kikubwa kama Chadema. Vinginevyo huko kwenye misingi kazi itakuwa haijafanyika kukisambaza chama inavyostahili.
 
Naona lumumba wamejaa kwenye uzi huu wanatema mashudu hatari.
 
Sasa hawa ukija kulinganisha na mtu kama Juliana Shonza ndio utakapo juwa tofauti kati ya mbwa wa kufuga na Simba mwituni.
Ndugu Juliana Shonza alipokuwa Chadema, mulimpa majina yote ya kijemedari na sifa kemkem. Ubaya wenu ni kuwa mko rahisi sana kusifia na kuponda mtu.

Ndimi na Midomo ni yakwenu, lakini control center yake haziendana kwa speed sawa.

Chombo chochote lazima kiwe na System na Protocols, la sivyo nidhamu hupotea
 
Habari mpya ni kuwa Ester Matiko kamshinda John Heche kwa kura 44 dhidi ya 38.
Hakika uchaguzi ulikuwa moto na Chadema ni imara sana.
Mkuu hata Mimi nahisi pamechimbika maana wore wawili nawakubali sana.
 
Heshima kwa Mbowe, amefanya kazi kubwa sana, kuwekeza BRAND yake chadema, sasa ni chadema itakayokuwa na sauti ya mwenye Mali tuu, wale Nazi Koroma wote wamepigwa chini.
 
Ndugu Juliana Shonza alipokuwa Chadema, mulimpa majina yote ya kijemedari na sifa kemkem. Ubaya wenu ni kuwa mko rahisi sana kusifia na kuponda mtu.

Ndimi na Midomo ni yakwenu, lakini control center yake haziendana kwa speed sawa.

Chombo chochote lazima kiwe na System na Protocols, la sivyo nidhamu hupotea
Haya tuelezee na upande wa pili usipindishe hata neno kukoje
 
Back
Top Bottom