Esther Matiko amshinda John Heche nafasi ya Mwenyekiti kanda ya Serengeti

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,284
38,305
Esther Matiko 44
John Heche 38

Hongera Mwana mama Esther Matiko

Hata hivyo John Heche ni kati ya Wanasiasa wachache sana ninaowahusudu Tanzania!

Kiasi siwezi kutilia shaka ujasiri na uzalendo wake kuhusu siasa za Tanzania.

Naamini ni kiongozi mkubwa ajaye.
 
Honestly, I like Esther Matiko, Ester Bulaya, Halima Mdee and the like. They are the iron ladies and the heart of CHADEMA!
Chadema mbali na kukimbiwa na watu ila ina vyuma aisee..Hapo BAVICHA sasa. Kiufupi CCM waliyasajili yale makapi ila waliobaki ni moto wa kuotea mbali. Kila idara ni vyuma tupu..Acha Mashinji na Safari wakapumzike maana hawana nafasi kwa hili chama kwa sasa.
 
Mbowe is smarter!
Unamuona tu mbowe mbona magufuli humuongelei.
Polepole-kachaguliwa na JPM
Hawassi-kachaguliwa na JPM
Ngemela lubinga-chaguo la JPM
Rodrick mpogolo-kachaguliwa na JPM
Bushiru Ally-Kachaguliwa na CCM

Sijui sisi wana CCM tumemchagua nani,hao wote niliowataja walikuwa sio lolote ndani ya chama chetu wote wameletwa na JPM
 
Esta soon mbowe atamfikia ,hii rushwa ya ngono inaitafuna chadema baada ya Joyce mukya na mbowe ,Rose kamili na slaa sasa ni kutafunana


State agent
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom