Esther Wassira kwa kweli sio mzuri wa kujenga hoja tu ila hata sura anayo. Sikuwepo kwenye jukwaa la mwalimu lakini na nilimwona kwenye TV jana akanivutia sana sana learned counsel, nadhani kama vile natamani kumfahamu zaidi
Mkuu kimwonekano Esther Wassira yuko vizuri zaidi na anamvuto wa hali ya juu!!!Mi namshauri Esther Wassira ajipange. Nataka Mzee Wassira apumzishwe 2015. Huyo Esther Bulaya hata kama mzuri kiasi gani, yupo kwenye wrong platform kwa sasa.
Japokuwa huyo wa bongoflavour simkumbuki vizuri bado sioni mfanano wowote kimaumbile wala Kiupeo kati yao.Huyu Esther Wassira ndiye yule mwanabongoflava aliyewika miaka ya mwanzoni mwa 2000 au majina tu yamefanana?(Wengine hatukuuona huo mdahalo)
Avanti umetumia kigezo cha jana katika jukwaa la mwalimu au umeshawahi kumsikiliza mara za kutosha kiasi cha kufika kusema sio mzuri wa kujenga hoja mkuu?? kama ni cha jana peke yake, basi mpe nafasi ya kumsikiliza zaidi ndio uhitimishe kwa usemi wako wa blue
Kuna haja ya kuanza kuangalia hvi vitu nje ya ubunge tu wajameni.
Naamini kutoka jana inbox ya E. Wasira imejaa washauri wa kumtaka ajipange kwa kugombea jimboni na "kuchukua" jimbo.
Siasa ni zaidi ya ubunge.
Ester Wasira atakuwa rasilimali makini ya chama na nchi kama atapata washauri watakao muelekeza vema kuhusu kutumikia siasa safi na sio kumjaza ndoto za ubunge!
Anahitaji kuwa mentored na mfumo wa chama kwanza, azielewe falsafa za chama, mambo ya ubunge ni matokeo.
Kuhusu huyo mwingine sitasema kitu sababu nilishaacha kuwazungumzia wanasiasa wa CCM!
Huyu Esther Wassira ndiye yule mwanabongoflava aliyewika miaka ya mwanzoni mwa 2000 au majina tu yamefanana?(Wengine hatukuuona huo mdahalo)
Hamna muikizu hata mmoja kati yao kina Ester ni machotaraSidhani kama uko sahihi. sio wajita wote mmojawapo muikizu. Na humu ndani makabila ya nn. kinachotakiwa uwezo wa mtu kuiongoza BUNDA regardless anatoka chama gani
Mkuu kimwonekano Esther Wassira yuko vizuri zaidi na anamvuto wa hali ya juu!!!
Esther Bulaya kimwonekano ni wa kawaida sana na hana mvuto wowote.