Esther Bulaya VS Esther Wassira

Nani utampa kura yako ubunge Bunda kati ya Steven Wasira (CCM) na Esther Wasira (Chadema) ?

  • Total voters
    112
Status
Not open for further replies.
Ester Bullaya sio mbaya hila kule halipo kuwepo ndio nuksi, vote yangu ni kwa komandoo wa kike; ESTER WASSIRA only ithink no other,l Wassira juuuuuuuuuuuuuuu ZAIDI. Wazee wa zamani kwa heri
 
Yaani hii kura ni ya wazi mno, lakini ni vizuri wakaelewa kwamba wanaondoka. Ili wajipange wasije kufa kihoro.
 
Kwa nilivyo msikia jana tean muda wenyewe aliopewa? Hapa tuwe wawazi, hata kama mtu huwa haipendi CDM utajikuta unaipenda tu, ukweli CDM pale wamelamba Dume, dada ni mzima, anajenga hoja, ana present hoja, hana hofu na anaweza ku-join dots, Bulaya kama ana ndoto za kugombea pamoja na huyu nafikiri atakua anapoteza muda, ataabika, asipeleke timu pale, labda something to caution, kama huyo baba yake naye ataonehs interest za kugombea jimbo moja, nina hofu suala la kifamilia hapo ninaweza kumuathiri huyu binti, atakapo anza kuporomosha madongo ninahakika Steven Wassira atakosa wasikilizaji, kamati ya nyumbani then inaweza kukaa, hebu hapa Esther pamoja na CDM walifikirie hili mapema, ninahakika huyu Binti humu jamvini lazima ni member tu, sio lazima achangie but heb afikiri hili then abadiri hata jimbo, sheria zinaruhusu then pale Bunda CDM wapepeleke mtu mwingine asie na conflict of interest!

E.Wasira ni moto wa kuotea mbali kwa kujenga hoja na kuhamasisha watu wajitambue lakini Kuwa na uwezo wa kujenga hoja pekee si kigezo cha mtu kupewa ubunge kwani mbunge ni zaidi ya hoja na ushawishi katika mikutano bali hata networking na watu mbalimbali. E. Wasira anatakiwa apewe majukumu maalumu ya ujenzi wa chama ili aweze kuleta ari kwa wapenzi na wadau wa CDM na watanzania kwa ujumla na mwisho wa siku atakuwa na nafasi nzuri ya kuwakilisha watu wake kipindi kifupi kijacho. Unaweza kuleta mchango kwa taifa hata kama si mbunge na bado ukafanya kitu kikubwa zaidi, so kwa sasa apewe majukumu maalumu kwanza ndani ya chama ili aweze kuleta chachu ya vuguvugu ya mabadiliko na kujijenga kisiasa zaidi.
 
Unasema kweli mkuu

QUOTE=Jodoki Kalimilo;4850667]E.Wasira ni moto wa kuotea mbali kwa kujenga hoja na kuhamasisha watu wajitambue lakini Kuwa na uwezo wa kujenga hoja pekee si kigezo cha mtu kupewa ubunge kwani mbunge ni zaidi ya hoja na ushawishi katika mikutano bali hata networking na watu mbalimbali. E. Wasira anatakiwa apewe majukumu maalumu ya ujenzi wa chama ili aweze kuleta ari kwa wapenzi na wadau wa CDM na watanzania kwa ujumla na mwisho wa siku atakuwa na nafasi nzuri ya kuwakilisha watu wake kipindi kifupi kijacho. Unaweza kuleta mchango kwa taifa hata kama si mbunge na bado ukafanya kitu kikubwa zaidi, so kwa sasa apewe majukumu maalumu kwanza ndani ya chama ili aweze kuleta chachu ya vuguvugu ya mabadiliko na kujijenga kisiasa zaidi.[/QUOTE]
 
Ester wassira ni jembe na chama alichoingia kama atakuwa mpambanaji wa kweli na tukaendelea kumshuhudia atang'aa kama lulu....
 
Hivi ni peke yangu naona majina tofauti kwenye heading, poll na michango ya watu mbali mbali, au ? maana heading inashindanisha Esters wawili, Poll inashindanisha Baba na Binti yake, wachangiaji baadhi wana shindanisha Esters wawili na baadhi Binti na Baba yake. Any correction please ?
 
Mbona heading na kura vipo tofauti? Kwenye kura ni steven wassira, ni macho yangu au Mod??? Ni Esther Wassira vs Esther Bulaya au ni Steven Wassira vs Esther Wassira?
 
...Thread Nzima Haina Hata Picha za Wanaoshindanishwa??? Inanikumbusha Enzi za Kupiga Kura kati ya Mgombea na Kivuli..!!!
 
Kwa nilivyo msikia jana tean muda wenyewe aliopewa? Hapa tuwe wawazi, hata kama mtu huwa haipendi CDM utajikuta unaipenda tu, ukweli CDM pale wamelamba Dume, dada ni mzima, anajenga hoja, ana present hoja, hana hofu na anaweza ku-join dots, Bulaya kama ana ndoto za kugombea pamoja na huyu nafikiri atakua anapoteza muda, ataabika, asipeleke timu pale, labda something to caution, kama huyo baba yake naye ataonehs interest za kugombea jimbo moja, nina hofu suala la kifamilia hapo ninaweza kumuathiri huyu binti, atakapo anza kuporomosha madongo ninahakika Steven Wassira atakosa wasikilizaji, kamati ya nyumbani then inaweza kukaa, hebu hapa Esther pamoja na CDM walifikirie hili mapema, ninahakika huyu Binti humu jamvini lazima ni member tu, sio lazima achangie but heb afikiri hili then abadiri hata jimbo, sheria zinaruhusu then pale Bunda CDM wapepeleke mtu mwingine asie na conflict of interest!
Ushauri mzuri
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom