Mkuu kwenye political platform, mvuto wa sura una umuhimu sana kuwavutia watu wakufahamu au wakupende. Umesahau ya JK 2005?
Katika hilo la kusaini ili kupiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu ndio mahali walipomwona Esther Bulaya ni dhaifu kwa sababu:Kwa hili kujaji kwa sasa ukasema Esther Wassira.....ni mkali.....sawa .....ila ungelinganisha wakati ule wa kupiga kura ya kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu Bulaya alikuwa juu.Kwa wakati ule Bulaya alikuwa juu. Ungemlinganisha na Esther Wassira yaani angepata mabango ya ajabu. Kwa hiyo mie nasma wote ni wakali kwa muda wao ila Bulaya atoke chama tawala mapema kabla hawajam dis
sikutarajia katika familia ya wasira kuna msichana mrembo kama yule. kwa kweli si kwamba nilikuwa na hamu kusikiliza ila urembo wake ndo ulinifanya nikae kwenye luninga mpaka kongamano lilipoisha. kwa kweli mdada ni mrembo, ukweli. namaanisha. (samahani wadau kwa kutoka nje ya maada)*Esther Bulaya ni mbunge wa kike, kijana kwa tiketi ya CCM viti maalum, watu wengi wamepata kumzungumzia uwezo wake wa kisiasa humu JF mara kadhaa. Ameonekana Bungeni na mara kadhaa kwenye majukwaa ya kisiasa akijenga hoja.
*Esther Wassira alionekana kwa mara ya kwanza kwenye ulingo wa kisiasa siku akichukua kadi ya CHADEMA, watu wengi walitaka kumfahamu uwezo wake wa kisiasa(kujenga hoja na kuamsha ushawishi), na kupitia hotuba aliyoitoa kwenye kongamano la kumbukumbu ya mwalimu Nyerere pale Nkurumah kila mtu sasa anaweza kumzungumzia.
*Sababu za kutaka kuwalinganisha kisiasa.
1/Mfanano wao (Wote ni wanasiasa, vijana, wanawake, wanatoka Bunda, wameshawahi kuwa na mzozo wa kisiasa na Steven Wassira, wote wanaitwa Esther!!)
2/Wanatoka vyama viwili vinavyopinzana.
3/Watu wengi wanataka kuona mmoja wao akirithi kiti cha ubunge wa Steven Wassira kule Bunda 2015.
***Wadau wa JF mnaweza kuchangia kwa kujenga hoja za ulinganifu wao kisiasa.
Esther Wassira kwa kweli sio mzuri wa kujenga hoja tu ila hata sura anayo. Sikuwepo kwenye jukwaa la mwalimu lakini na nilimwona kwenye TV jana akanivutia sana sana learned counsel, nadhani kama vile natamani kumfahamu zaidi
sikutarajia katika familia ya wasira kuna msichana mrembo kama yule. kwa kweli si kwamba nilikuwa na hamu kusikiliza ila urembo wake ndo ulinifanya nikae kwenye luninga mpaka kongamano lilipoisha. kwa kweli mdada ni mrembo, ukweli. namaanisha. (samahani wadau kwa kutoka nje ya maada)
Esther Wassira kwa kweli sio mzuri wa kujenga hoja tu ila hata sura anayo. Sikuwepo kwenye jukwaa la mwalimu lakini na nilimwona kwenye TV jana akanivutia sana sana learned counsel, nadhani kama vile natamani kumfahamu zaidi
Avanti umetumia kigezo cha jana katika jukwaa la mwalimu au umeshawahi kumsikiliza mara za kutosha kiasi cha kufika kusema sio mzuri wa kujenga hoja mkuu?? kama ni cha jana peke yake, basi mpe nafasi ya kumsikiliza zaidi ndio uhitimishe kwa usemi wako wa blueEsther Wassira kwa kweli sio mzuri wa kujenga hoja tu ila hata sura anayo. Sikuwepo kwenye jukwaa la mwalimu lakini na nilimwona kwenye TV jana akanivutia sana sana learned counsel, nadhani kama vile natamani kumfahamu zaidi