- Thread starter
- #101
Mpishi bora ni yule anayepika chakula vizuri na wala sio uzoefu wa kukaa jikoni miaka mingi.Naomba thread isomeke CDM Vs CCM nani zaidi, maana hapa ishabiki wa kochama hautaleta ukweli maana, huyo Wasira ameonekana jana tu tayari amemzidi mtu ambaye yupo ktk siasa kwa zaidi yake.