Esther Bulaya: Mimi ndiye kipenzi cha Wana Bunda

Je kaletwa kwenye mkokoteni?
Tatizo ni aliyemnunua na kumpeleka dodoma ili ionekane kuna upinzani wa kutengeneza. Tena yule ambaye anajiapiza kwamba atawalinda kwa gharama zozote wakati mwaka jana alikuwa anawafurusha bungeni!
 
Je kaletwa kwenye mkokoteni?
Hata lowasa alienda mwenyewe akaitwa oil chafu na kuambiwa amejinyea jukwaani. Aliporudi japo siyo kwa mkokoteni lakini alipokelewa kama shujaa! Tumewazoea
Mnauzia mahawala nyumba za umma kisha mnajiita WAZALENDO kisa masaa scarfs
 
Haya kama unaendelea kumsema aliyeanguka kwenye ngazi akisindikizwa na hawara wa viti maalumu!

Bora yule hakuliingizia hasara lolote taifa. Tuzungumze ya Kabula yule hawala wa kebys aliyehongwa nyumba hali ya kuwa hakuwa mtumishi wa umma.
 
Back
Top Bottom