Ester Bulaya ndani ya Loliondo!!

As if ni jambo la ajabu kwa mbunge kupata kikombe wakati tunaambiwa na tumeshuhudia makumi ya wabunge wakipata kikombe hicho. Hivi ukiwa mbunge huugui? Funny!
 
Yule mbunge maharufu bulaya ameonekana mitaa ya samunge

Huu ni upuuzi! Ameonekana Samunge so what? Au nini cha ajabu? Mbona yeye so wakwanza! This is house of great thinkers! Kama huna cha kupost nenda kamsaidie mkeo kuosha vyombo!
 
Back
Top Bottom