Ester Bulaya kupambana na polisi kumsaidia Mnyika

Unakumbuka shule. Nilivyokuwa napenda sana kuingilia ugomvi usionihusu. Kupenda kuonekana Kwa Watu kwamba wee unaipenda sana shule au darasa. Estar upooo
 
Kweri umesema mabyara. Yaani haka kasimbe kyetu kyina ngufu sana. Si unaona anafyo mnyanyasa yule mghaka. Jitu la misituni likachachafiwa na kasimbe hadi limejificha nyuma ya watu. Namupa ongera sake huyu musichana kweri. Munyika, rete ching'ombe nikupe huyu naye uongesee. Rete ching'ombe 26 na milioni 5 tu unamchukua reo reo.
 
Ila naanza kukubali kauli ya baadhi ya wabunge wapimwe akili... yani huyu Mnyika kweli adabu sifuri:)
 
Yaani hii video imenipa hasira sana,,hivi kwa nini lakini akina Mnyika hawafanyi mazoezi ya viungo?unawazingua tu hao askari kudaadeki..spika anaendesha bunge kimabavu namna hiyo? Ila haya ni maisha tu tunapita
 
hahahahaha afanye mazoezi mwambie lakini ajiandae kuharisha akileta chokochoko
 
Hivi kanuni kuwa wabunge wasitumie lugha ya kuudhi wanapochangia haiwahusu wabunge wa chama tawala? Mbona wapinzani wakichangia kila mara kuna miongozo wanaelekezwa kufuta kinachoitwa lugha ya kuudhi?
 
Yaan mapinzan et yamekaa tuuu mpaka ester anayaambia na bado yamekaa tuu
 
Ndio maana ester bulaya alimshinda mzee wasira,kwenye kiti cha ubunge jimbo bunda mjini kwa kweli leo estar bulaya ameonyesha ushupavu mkubwa sana ndani ya bunge,ameonyesha ubinaadamu wake,kama mwanamke mkamilifu aliyeumbwa na mungu kuwa binaadamu mkamilifu,binaadamu yeyote makamilifu hawezi kukubali kiraisi rais haki zivunje kijinga jinga kama mnyika alivyovunjiwa heshima yake,m nyika ameitwa mwizi,na akapewa adhabu ya kubebwa nje ya bunge kama kibaka,kwa mtu mmoja kulewa madaraka tu
 
Kweri umesema mabyara. Yaani haka kasimbe kyetu kyina ngufu sana. Si unaona anafyo mnyanyasa yule mghaka. Jitu la misituni likachachafiwa na kasimbe hadi limejificha nyuma ya watu. Namupa ongera sake huyu musichana kweri. Munyika, rete ching'ombe nikupe huyu naye uongesee. Rete ching'ombe 26 na milioni 5 tu unamchukua reo reo.
Acha kujitoa ufaham, saa zingine uwe unaacha kutumia makalio wakat unaandika post humu
 
Kuna kipindi watu walimsifu sana Ndugai na kudai wamemmis alipokuwa anaumwa wakati huo tuliaminishwa kuwa naibu spika ni shetani.
huwaga nawaambia hakuna mtu aliye ccm umwamini,kuna siku bashe watakuja kumkataa humu,wale wa njano na kijani akili yao sometimes inaingiwa maruhani
 
Back
Top Bottom