tusionacho
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 274
- 514
Ester Bulaya ni mpambanaji kuliko wapinzani wote kavutana na polisi mpaka nje wakati wabunge wote wa upinzani wakiwa wamezubaa uonezi huu wa spika kwa wapinzani haukubaliki na Bulaya kaonyesha kwa vitendo kama mama Tanzania mzalendo na aliyepinga ukandamizwaji wa wazi wazi wapinzani leo umoja hamkuonyesha pindi Mnyika akidhalilishwa na polisi bungeni ndani