Ester Bulaya alivyovunja mwiko Bunda

Ester Bulaya alivyovunja mwiko Bunda

Asante sana mkuu kwa kuwa mchambuzi mzuri wa mambo ya kisiasa.
Ingawa kuna wakati nawe unachomoa betri
Huyu ni mwanamke wa shoka, kitaaluma ni mwandishi wa habari.
Wengi ndio wamemjua baada ya kumtwanga
kwa knock out Tyson Wasira. Angalia tarehe ya bandiko hili uone sisi wengine tulimfahamu lini kuwa hiki ni Chuma cha pua.


P
 
Kama kuna jambo linalo muuma na kumkera mzee Wasira mbunge wa zamani wa Bunda basi ni kitendo cha kunyang'anywa kitumbua chake mdomoni.

Aliye amua kumtesa mzee wetu Wasira siyo mwingine bali ni binti wa Bulaya na akawa kavunja mwiko pale mkoani kwetu Mara kwa kumshinda gwiji wa siasa mzee Wasira.

Hakika huyu binti ni mpambanaji wa kweli wa mambo ya siasa na kimaendeleo.View attachment 1208108
Kama ana akili huyu mama pesa yake ya mafao aitumie kwa shughuli zake tofauti na siasa. Amechokwa na watu wa Bunda na ameingiziwa sumu ya ukabili na kupakaziwa kuwa anasa.....na na Mh HM. Hivyo sifa yake kwa wapiga kura wake ni mbaya sana.
 
Wacha kuwadanganya watu wewe vumilieni dawa iwaingie vema
Kama ana akili huyu mama pesa yake ya mafao aitumie kwa shughuli zake tofauti na siasa. Amechokwa na watu wa Bunda na ameingiziwa sumu ya ukabili na kupakaziwa kuwa anasa.....na na Mh HM. Hivyo sifa yake kwa wapiga kura wake ni mbaya sana.
 
Ni kazuri, lakini tatizo kanaongea sanaa, yaani kanauchonga mno.
Sasa sifa hizo wanaume hatuzipendi.
 
Hapo sasa
FB_IMG_1568242771866.jpeg
 
Niheri mimi nilibahatika kufika kwa ngariba kuliko wewe ambaye hadi leo hii na joto loote hili bado umevaa sweta la mikono mirefu
Wenzako wanakusema eti ngariba wako alikuwa mwanamke!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom