Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
Kama kuna jambo linalo muuma na kumkera mzee Wasira mbunge wa zamani wa Bunda basi ni kitendo cha kunyang'anywa kitumbua chake mdomoni.
Aliye amua kumtesa mzee wetu Wasira siyo mwingine bali ni binti wa Bulaya na akawa kavunja mwiko pale mkoani kwetu Mara kwa kumshinda gwiji wa siasa mzee Wasira.
Hakika huyu binti ni mpambanaji wa kweli wa mambo ya siasa na kimaendeleo.