Estar Bulaya aachiwa huru

Mkuu ujumbe wako ni mzuri sana ila umekosea kuingiza mambo ya dini hapo.
 
Pale ccm walipo amua kutuwekea mtaalam wa book keeping
 
Chongenii lakini taratibu zitafuatwa hats Kama mnajifsnya hamuoni
 
Nashangaaa tangu jana hadi leo haielezwi kosa la bulaya ni nini?
 
Demokrasia gani lazima sheria za nchi ziheshimiwe. Hakuna hata mmoja aliyeko juu ya sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…