Estar Bulaya aachiwa huru

MATUMIZI MABAYA YA STATE
RESOURCES.



Unamkamata Bulaya Mwanza
unatumia mafuta ya serikali
na polisi pia nauli ya ndege
kumpeleka dar halafu
unamfikisha anaachiwa!!!!
Ndugai, polisi na ccm ni
majipu.
#Eti wanabana matumizi.
 


angekuwa rais ni muislamu ungesikia matamko ya mababa paroko hadi muda huu wapo kimya

hasa suala la zanzibar angeshinda mkristo halafu muislam hatak kuachia ungesikia matamko ya wanafiki mala ooo gaidi umeya jiji la dar maparoko kimyaaaaaa kwakuwa nchi ipo chini ya mkristo mana ni wazee wa matamko
aliyekuwa akihamasisha makanisan asichaguliwe rais kutoka cuf leo ni wazir wa magu unategemea kuna haki apo?
 
Hii ni dalili tosha ya ushindi kwa upinzani.Walifikiri wakimkamata Chadema wataahirisha mkutano wao na kufanya maandamano lakini wakakuta upinzani wamajua kusoma mchezo.Hongera sana Ester na endelea na mapambano kwani wanazidi kukujengea umaarufu na Mungu atakupigania dhidi ya dhuluma za watawala.
 
hakuna cha zaidi ni uonevu tu wa kuonea wapinzani. yana mwisho haya....
 
Kwa kweli gharama ya kufifisha demokrasia ni kubwa kuliko kutumbua majipu.
Serikali hii isifikiri itapata uungwaji mkono mkubwa kwa kutumbua majipu huku ikibinya uhuru wa watu!
Uhuru lazima ubinywe maana Watu wengi walikuwa huru Na hawakuutendea haki.Sasa wote LAZIMA tunyooke tu hamna njia.
Hapa ni kazi tu
 
Mjanja kanaswa acha akome hana Jipya hata huko Bunda taabu
 
Mm daima husema ccm alikufa nayo mwenye nayo waliopo hawajui miiko yake. Hvo lazma tu wavuruge.
Hii ni sawa na wewe umetafuta Mali kwa nguvu zako na bila kujua ukafa bila kutoa miiko ya namna ya kuangalia Mali hiyo ni lazima tu watoto na ndg wavurugane na mwisho wake Mali huisha bila kujua.. Koz kila mtu anakuwa na mamlaka nayo Mali.
 
Hueleweki unatetea ccm? Au haki? Au dini
 
Wacha UDINI weye
 
MATUMIZI MABAYA YA STATE
RESOURCES.



Unamkamata Bulaya Mwanza
unatumia mafuta ya serikali
na polisi pia nauli ya ndege
kumpeleka dar halafu
unamfikisha anaachiwa!!!!
Ndugai, polisi na ccm ni
majipu.
#Eti wanabana matumizi.
Tunaposema serekali hii niyamaigizo na mazingaombwe tunaimanisha
 
Wakifanya makosa na wakamatwe tu....hivi kwanini hawakumpga hata makofi aiseee ningefurahiiii maana nisivyowapenda chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…