NAPITA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,077
- 2,250
- Thread starter
- #21
Hapo $280 zimeenda kihalali kabisa sasa bado ushidi tu sasa kazi inaanza ya kuwinda matukio humu ndani leo lazima kieleweke napotea nikirudi full mapicha du kunatotozz mmoja nimemcheki yalaaa sijui huku hawanaga mfungo ha!ha! nakutupia picha yake mkuu siti za kukaa zingekuwa kama uko unakaa tu lazima ningekaa nae aisee.
