Estadio Mineirao Brazil vs Chile Live Photo

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
b.jpgb.jpg
b.jpgb.jpg
 
Kumekucha huko

Kumekucha mkuu ingawaje kulikuwa na ka mvua mvua kwenye baadhi ya maeneo lakini sasa mambo powaa ndo tumejongea uwanjani Estadio.
 
zingine zilete kule jukwaa la wakubwa
 
Kumekucha mkuu ingawaje kulikuwa na ka mvua mvua kwenye baadhi ya maeneo lakini sasa mambo powaa ndo tumejongea uwanjani Estadio.
Tunashukuru kwa taarifa endelea kuturusha mkuu
 
HARUFU Pamoja sana ngoja niingie ndani ya uwanja Nikuletee yale mambo yetu!!
 
Leo kwa mtazamo wangu Brazil anapigwa. Paulinho na Gustavo lazima wapotee kwa Arturo Vidal na akina Vargas.
 
Kumekucha mkuu ingawaje kulikuwa na ka mvua mvua kwenye baadhi ya maeneo lakini sasa mambo powaa ndo tumejongea uwanjani Estadio.

mkuu Estadio maana yake ni Uwanja/stadium. Endelea kutupia vitu vya huko mkuu tunafurahia sana, Obligado!
 
Back
Top Bottom