Establishing VFX, CG studio...Film Making

BestOfMyKind

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
1,348
Reaction score
1,466
Kwa yeyote anaevutiwa na kuanzisha studio (yani awe part of the invention) ya Visual Effects, 3D & 2D animation na film making kwa ujumla tuwasiliane kupitia iamthebestofmykind@gmail.com

NB : Seriousness, hardworking spirit, pamoja nakukubali failures mwanzoni wa project ndo vigezo vikubwa vya kujipima kabla ya kufikiria kutuma email. Tuanze tukiwa wadogo ili tuje kua wakubwa in the end. Mi nafahamu rigging and animation in both Autodesk Maya na 3ds Max. Pia modelling in Zbrush, Adobe after effects kiasi chake... Adobe Photoshop kiasi kikubwa tu.

Pia nna mawazo mengi juu ya wapi tutaanzia na studio yetu though sio sheria mawazo yangu ndio yawe mfumo na msingi wa studio.

Taarifa zisambae.

Na itambulike kua sijatangaza ajira, ni tangazo la kujiajiri. Kwahiyo hutalipwa ila utajilipa.

[ Tangazo lipo kwenye jukwaa la ajira ]
 
Uko maeneo gan kk
 
Toka 2015 ina maan mmeshafanya kazi nyingi embu tuonesheni angarau kazi moja tu ili tuvutiwe tuweze kujiunga na ninyi mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom