Esta Bulaya mama unautesa moyo wangu

Esta Bulaya mama unautesa moyo wangu

attachment.php

Aisee huyu ni nani jamani yaani unaweza kuuza kijishamba,kiRav4,kijumba ulichokipigania kwa zaidi ya miaka 15 halafu akakutosa.
huyo anaitwa mh catherine wa atown! kuhusu kuuza ki rav 4 chako huyu huwa anamiliki range rover sport! i guess atakuwa anasaidiana na regina mamvii wa mondul... kama first lady 2015

huyo anaitwa mh catherine wa atown! kuhusu kuuza ki rav 4 chako huyu huwa anamiliki range rover sport! i guess atakuwa anasaidiana na regina mamvii wa mondul... kama first lady 2015

hakika ni mzuri, hongera zake
 
huyo anaitwa mh catherine wa atown! kuhusu kuuza ki rav 4 chako huyu huwa anamiliki range rover sport! i guess atakuwa anasaidiana na regina mamvii wa mondul... kama first lady 2015

kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kuna mdau baada ya kusikia anatembelea range rover sport akanywea nimecheka sana eti kisu changu kibutu njoo nikuazime verossa mkuu labda unaweza ku mu impress
 
Ushaambiwa range sport unaleta verossa..angalia bei ya booster ya range sport ujue hapo ni parefuuuuu

Ha ha haaaaa ingawa naye kafunga goodride kama sio linglong tyres
 
Kila nikimpigia simu nimueleze ya moyoni hapokei,nikituma sms hajibu,nimejaribu ku mrequest fb sijaona responce yoyote,au nichukue kadi ya ccm nijiunge na UVCCM ndio unielewe?

MH.ESTA ukinikubali kesho ntakupeleka nyumbani ukamuone mama.

naona unataka matatizo na HM wewe!
 
Ha ha ha kifinga hapo bado haujanisaidia labda kama ungeniazima NISSAN Patrol y 62 QX 56 naweza kujikakamua kiduchu.

988527213.jpg

kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kuna mdau baada ya kusikia anatembelea range rover sport akanywea nimecheka sana eti kisu changu kibutu njoo nikuazime verossa mkuu labda unaweza ku mu impress
 
Last edited by a moderator:
Hadi Zee la kupiga tu limedata pichani!!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom