Unataka kugombana na mdee[/QU unataka kumaanisha nn labda??
huyo anaitwa mh catherine wa atown! kuhusu kuuza ki rav 4 chako huyu huwa anamiliki range rover sport! i guess atakuwa anasaidiana na regina mamvii wa mondul... kama first lady 2015
a....Mweeeh jamaa ndo anamiliki?
Sasa mdau kwani uyu ni naniii....naniiii...kwa naniiiii?,mbona ckuelewi.Mheshimiwa spika naomba mwongozo...Anaitwa Catherine Magige, Mbunge wa viti maalum(CCM) Mkoa wa Arusha.
Ingia tu baba wanafaa kwa matumizi ya binadamu wa kiume rijali.Hawa ni akina nani!?? wanaonekana wanafaa kwa matumizi ya chumbani...