Especial kwa wadada......

Especial kwa wadada......

Barbie Maliposa

Senior Member
Joined
Feb 9, 2011
Posts
153
Reaction score
19
wapi naeza pata salon/kinyozi mzuri wa bob style?Anayekata vizuri sana...Pliiiiz help if u know one.
 
Kinondoni kwa wapi mpendwa?if u can nielekeza better i would appreciate.
 
Wala usisumbuke Mdoli Maliposa nenda kwenye salon yoyote ya kiume na mwelekeze unavyotaka utafurahi,huwa tunakutana na kinadada wakinyolewa Bob salon nyingi tu.
 
Kwa Mercy Galabawa watakuwa hawakati kweli?....hebu jaribu
 
nenda Renzo salon ipo IPS building kuna kaka mmoja anaitwa Karim
anakata vizuri sana ile style ya Halle Berry
nenda hapo
 
nenda Renzo salon ipo IPS building kuna kaka mmoja anaitwa Karim
anakata vizuri sana ile style ya Halle Berry
nenda hapo

Yeah, Karim anakata fresh but now ameshatoka Renzo ana saluni yake iko Mwenge mitaa ya Rufungira/Mpakani. Namba yake ni 0652 222 559. Mpigie atakuelekeza vizuri jinsi ya kufika saluni kwake.
 
Yeah, Karim anakata fresh but now ameshatoka Renzo ana saluni yake iko Mwenge mitaa ya Rufungira/Mpakani. Namba yake ni 0652 222 559. Mpigie atakuelekeza vizuri jinsi ya kufika saluni kwake.
Thanks sou sou much,umenirahisishia mnooo....:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Back
Top Bottom