ESCROW scandal: Pinda apata watetezi

ESCROW scandal: Pinda apata watetezi

Nadhani turudie kuisoma hiyo ripoti mbona imebandikwa humu JF! Pinda anaenda na maji sio kwamba kaiba. Ila alibariki wizi na hakuwa makini katika kutekeleza wajibu wake. Pia alijikuta ameingia kwenye mkumbo wa ku-emphasize kuwa hela ile si ya umma. Kwa hayo tu inatosha hata kuwambia wengine wabaki ila yeye aende. Lakini kwa kuwa tunaamini waliyoyafanya hayawapi hadhi ya kubakia katika nafasi zao, basi waende nae!

Labda jamaa wa escrow walimtishia maisha akaogopa, siunajua suala la maisha ni la mtu binafsi na halina baunsa?
 
Wahisani wanajua namna system nzima ilivyopingwa ganzi na kupelekea wizi huu wa kihistoria.....Wahisani wanataka hatua stahiki zichukuliwe si mzaha......Hatuwezi kukwepa ukweli wa viongozi wetu kushindwa kulifanya taifa hili kujitegemea ........hivyo lazima tukidhi matakwa haya yenye nia njema kukomesha wizi uliokomaa ...........naamini wabunge wengi wa CCM na upinzani wataungana na kamati ya akina Zitto kupitisha maazimio yao........PINDA lazima AONDOKE .........

Utakuwa umemuwajibisha au umekidhi matakwa ya wahisani?
 
Kuna taarifa kwamba Pinder amewapanga wabunge kadhaa (majina kapuni) wamtetee bungeni leo ili asiende na maji. Kwa kufanikisha utetezi wao wanadai kwamba Pinder hajahusika yeye binafsi katika ufisadi huu bali ni watendaji wa chini yake ndio wanapaswa kuchukuliwa hatua.
Hili peke yake linatosha kabisa kufanya ajiuzulu... SAWA, hakuhusika lakini ni sawa na kusema ameshindwa kuwasimamia watendaji wa chini yake! This alone stamps him as IRRESPONSIBLE PM, the reason enough for him to go!!!
Kete ya pili wanayotumia 'watetezi' hawa ni kwamba ikiwa Pinder alihusika kwenye ufisadi huu basi asingeagiza uchunguzi ufanyike. So the guy is clean and innocent.
Kwenye masuala ya ukachero hii inaitwa kutengeneza alibi... kwamba, "ingekuwa mimi ndo nimembaka huyo mtoto basi nisingekuja kutoa taarifa polisi kwamba mtoto amebakwa" Only fools can be played with this shit and nonsense excuse!
Aidha, kuna timu kubwa imetumwa kumtetea Pinder kwenye social media, hasa JF, kwa lengo la kuupotosha umma na kuwafanya wananchi wasadiki kwamba Pinder anaonewa bure.
Ikiwa PInda mwenyewe tulishajua kwamba anatupiga magirini hata baada ya kuangua kiliko bungeni, itakuja kuwa kutumia mamluki... kama kweli anaonewa, tumuone akilia tena bungeni, alah!
Kisingizio kingine kitakachotumiwa kumsafisha ni uwepo wa makundi ya urais, 2015 yanayochafuana.
Ndiyo akome na kimbelembele chake... anafikiri Braza Ben aliyesema bado hajaoteshwa ni boya?
Anyway, ngoja tusubiri tuone hao vibaraka wake wamejipangaje kumtetea kwa kuwa naona kama wanatumia hoja mfu kumsafisha mtu ambaye amechafuka kiasi cha kutosafishika tena. Mbivu na mbichi tutazipata leo bungeni wakati utetezi wa serikali (utakaotolewa na Pinder mwenyewe) utakaporindima.

Nawasilisha
:israel:
Angalau vibaraka wake wa hapa JF tushawajua... kama ana ubavu, aombe airtime hapa JF tumtwange miswali... kwanza, I bet maswali ya hapo hapo leo moja wapo ni kutoak kwa Habib Mnyaa ambae atauliza: "Mheshimiwa Waziri Mkuu, Kamati ya PAC imejiridhisha kabisa kwamba hukutekeleza wajibu wako ipasavyo ama kwa makusudi au kwa kufahamu! Je, Mheshimiwa Waziri Mkuu huoni ni busara kwako ukiutangazia umma muda huu kwamba unajihudhuru?"
 
Kutumika umeme hakutoi uhalali wa pesa za walipa kodi zaidi ya bilioni 300 kuibiwa na kisha wahuni, wezi na mafisadi kugawana.

#BringBackOurMoney

Na umeme uliotumika umeanguka kutoka mbinguni? We vipi?
 
Labda alie tena. Hata hivo hasameheki jambazi mkubwa yule. Na yy apigwe tu sura km wasira. Miccm na profesa tezi dume inaniuzi sn.
3.36bil transfered to various persons
 
Kutumika umeme hakutoi uhalali wa pesa za walipa kodi zaidi ya bilioni 300 kuibiwa na kisha wahuni, wezi na mafisadi kugawana.

#BringBackOurMoney
Zingetumika bilioni ngapi? Na angelipwa nani?
 
Kuna taarifa kwamba Pinder amewapanga wabunge kadhaa (majina kapuni) wamtetee bungeni leo ili asiende na maji. Kwa kufanikisha utetezi wao wanadai kwamba Pinder hajahusika yeye binafsi katika ufisadi huu bali ni watendaji wa chini yake ndio wanapaswa kuchukuliwa hatua.

Kete ya pili wanayotumia 'watetezi' hawa ni kwamba ikiwa Pinder alihusika kwenye ufisadi huu basi asingeagiza uchunguzi ufanyike. So the guy is clean and innocent.

Aidha, kuna timu kubwa imetumwa kumtetea Pinder kwenye social media, hasa JF, kwa lengo la kuupotosha umma na kuwafanya wananchi wasadiki kwamba Pinder anaonewa bure.

Kisingizio kingine kitakachotumiwa kumsafisha ni uwepo wa makundi ya urais, 2015 yanayochafuana.

Anyway, ngoja tusubiri tuone hao vibaraka wake wamejipangaje kumtetea kwa kuwa naona kama wanatumia hoja mfu kumsafisha mtu ambaye amechafuka kiasi cha kutosafishika tena. Mbivu na mbichi tutazipata leo bungeni wakati utetezi wa serikali (utakaotolewa na Pinder mwenyewe) utakaporindima.

Nawasilisha
:israel:

Sina hakika kama uko sahihi kwenye red bold. Kama Pinda ndiye alitoa maagizo ya uchunguzi kufanyika, kwa nini matokeo ya uchunguzi yapelekwe bungeni?? Kwa kumbukumbu zangu, bunge liliamuru uchunguzi huo ufanyike, na ndiyo maana hata kale ka-memo kutoka mahakamani kaligonga ukuta pale Idodomya.
 
Serikali(Pinda) ilisema fedha za Escrow sii za umma sasa CAG, Takukuru, PAC wanasema hizi ni fedha za umma sijui atajitetea kwa lipi kama Serikali.
Pinda hana uwezo wa kuwa Rais na yeyote ndani ya CCM hamna mwenye uwezo wa kuwa Rais otherwise ni shida tu watatuletea

Mwizi tuuu na yy
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pinda ndo mwenye hatia namba Mona. Yeye ndio anaewasimamia wote hao.
anawajibika kutokana na uzembe kwakushindwa kusimamia ofisi mpaka kukatokea upotevu mkubwa wote huo wa Pesa za uma.
 
Mbona tunahangaika kwa upande wa Pinda ni suala la collective responsibility hajafanya yy ila mawaziri wake wapo waliofanya. Hata akitetewa suala la collective responsibility linamuhusu
 
Back
Top Bottom