ESCROW scandal: Pinda apata watetezi

ESCROW scandal: Pinda apata watetezi

Serikali(Pinda) ilisema fedha za Escrow sii za umma sasa CAG, Takukuru, PAC wanasema hizi ni fedha za umma sijui atajitetea kwa lipi kama Serikali.
Pinda hana uwezo wa kuwa Rais na yeyote ndani ya CCM hamna mwenye uwezo wa kuwa Rais otherwise ni shida tu watatuletea

Umeongea ukweli sana aysee.......hakuna unafki hapo......CCM hakuna mtu wote wezi tu.
 
Mbona na ww ni mtumwa wa mgombea wa Urais? Acha ujinga hapa
 
Kuna taarifa kwamba Pinder amewapanga wabunge kadhaa (majina kapuni) wamtetee bungeni leo ili asiende na maji. Kwa kufanikisha utetezi wao wanadai kwamba Pinder hajahusika yeye binafsi katika ufisadi huu bali ni watendaji wa chini yake ndio wanapaswa kuchukuliwa hatua.

Kete ya pili wanayotumia 'watetezi' hawa ni kwamba ikiwa Pinder alihusika kwenye ufisadi huu basi asingeagiza uchunguzi ufanyike. So the guy is clean and innocent.

Aidha, kuna timu kubwa imetumwa kumtetea Pinder kwenye social media, hasa JF, kwa lengo la kuupotosha umma na kuwafanya wananchi wasadiki kwamba Pinder anaonewa bure.

Kisingizio kingine kitakachotumiwa kumsafisha ni uwepo wa makundi ya urais, 2015 yanayochafuana.

Anyway, ngoja tusubiri tuone hao vibaraka wake wamejipangaje kumtetea kwa kuwa naona kama wanatumia hoja mfu kumsafisha mtu ambaye amechafuka kiasi cha kutosafishika tena. Mbivu na mbichi tutazipata leo bungeni wakati utetezi wa serikali (utakaotolewa na Pinder mwenyewe) utakaporindima.

Nawasilisha
:israel:
Jiulizeni kwa nini ripoti ya Takukuru haikuletwa bungeni? hapo mjue hamna kitu akina Zitto wamejikakamua bure bila kujua wametumika kama kuni watu waendelee kuota moto: wahisani waone limejadiliwa, wananchi wameelewa kura zitapatikana basi hakuna kingine hapo kwenye hiyo komedi au mchezo wa kuigiza
 
Pinda ndio Tunu ya taifa hili kwa uzalendo na kuichukia rushwa... Hakuna mfano wake.

wewe ni tutusa kwelikweli. pinda anatakiwa kujiudhuru kwa kutetea wezi na kutoa taarifa za uongo bungeni kwa nia ovu ya kulinda MAFISADI.
 
Mbona na ww ni mtumwa wa mgombea wa Urais? Acha ujinga hapa

Ni kweli kabisa mkuu. huyo mpuuzi anayemtetea pinda (mgombea urais) lazima atakuwa ametumwa na mafisadi ili kutetea wezi. mpuuzi mkubwa!
 
Pinda ni tunu ya taifa tunamuitaji huyu mtu kwa maendeleo ya taifa letu tusiingize siasa kwa hilii pinda is the right person.
 
Hakuna kulala hadi kieleweke. Pinda na wakuu wake wa kazi sharti wakamatwe ili kusaidia upelelezi.
 
Back
Top Bottom