Escrow kumuumbua Rais Kikwete

Kubenea anahangaika sana. Fedha za Reginald Mengi alizolamba kushinikiza Muhongo afukuzwe anaona kuwa zinataka kumtokea puani

Nikiona comment zako nasikia kinyaa
 
Wapi imeandikwa kuwa amekwapua? By the way, hivi Mkulu ana dhiki gani kiasi cha kutumia njia za panya kujipatia mapato?

Tatizo nimaamuzi yake hayaeleweki, sio za umma, kodi ya serikali imo ndani, yeye peke yake anajichanganya anaficha nini?
Nikweli kodi siyo hela ya umma?, je reavaluation ilifanyika na kuthibitisha hela yote ilikwa ya singasinga?

Utata wa maelezo ya kikwete, kujiumauma, kushindwa kuchukuwa hatua kwa muda muafaka, Ikulu kushiriki, kushindwa kusimamia ieleweke nania kachukuwa za Stanbic nk ndivyo vinavyopelekea watu kuona yawezekana Kikwete yumo maana ubabaishaiji umekuwa mkubwa kuliko jambo lenyewe.
 
Mama Tibaijuka pole sana ila nahisi wewe kwa sababu ni mwanamke ndiyo maana unaonewa mama yangu. Madume kibao yanaachwa wewe wamekubeba sijui siku hizi unalala usingizi? wewe na wizara ya nishati na madini wapi na wapi! pole ila komaa mama hiyo ndiyo serikali ya chama chako sikivu!
 
Jamani Mimi nashindwa kuelewa kwanini waliopewa fedha kupitia account za stanbic bank hawajutajwa wakati ndio waliopewa hela zile alizobaki nazo singh badala yake mnataja zile alizotoa Rugemalira wakati Ruge alipewa hela zake alizouza hisa zake kwa Singh hata kama Singh aliiba wakukamatwa ni yeye huyu alielipwa alikwenda kulipa kodi ya mauZo ya hisa zake kisha akaamua kugawa apendavyo hapa mwenyekosa nadhani ni huyo aliemlipa.alizipataje pesa hizo? Je alizilipia kodi? Je hao aliowalipa hawahusiki kumsaidia kupata? Kama Jk hahusiki kwanini tusitajiwe waliopewa mgao kule stanbic?
 

Change akiguswa nchi itatisika
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…