Loeb S Mpalasinge
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 1,792
- 1,748
"atheist wataenda mashoga" kwani atheist ni wapi?,au ni sehemu gani?
"watu wasiopenda kufuata sacred principle" unajua maana ya sacred principle?
do you even know what you wrote here mr?
Mkuu hivi wanaoutetea huo ushoga si watu wa science na wakitoa sababu za hormone inbalance?? Na wengi wao ni hawa atheist!! Huko ulaya wanaotetea huu umajinun ni atheist lakini wahafidhina wa imani wameshikilia msimamo.Na wanashawishi hadi wanasiasa waingie kwenye mkumbo wao wa kuishi kwa kutegemea akili pasi na kumshirikisha MUNGU.
Inakuwa ngumu saaana mtu anapochangnya vitu viwili kwa wakati mmoja yaani Imani na tafiti a kisayansi.Basi Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo,ni bayana ya mambo yasiyoonekana,hayo ya kisayansi najua unayajua kiasi flani.Imani haihojiwi ndiyo maana yule jamaa alisema..Mpeni Kaisari yaliyo ya kaisarina yaliyo ya Mungu mpeni Mungu.
Nimejaribu kujifunza kwa ulichokiaNDIKA SCIENTIST. kwanza unatakiwa kujifunza kitu kimoja Kitu kinachomtofautisha Mungu na viumbe vingine vyote ni Ability to Create from Vanity. Anaweza kusema ikawa, Photosynthesis akairuhusu baadae. Tatizo arguments zako ziko based on your finite and limited capacity and knowledge of infinite God.
Alishawahi Kusimamisha jua hilo unaloliamini ili kumuaminisha kitu Yoshua. Hapo unasemaje. He is the creator of every system,.
Utendaji wa Mungu ni wa ajabu na miujiza. Utaratibu wa Mungu vilevile. Angalia kwenye biblia Mungu anampitisha Samson kuzaliwa na mgumba. Je[ color =blue] ,watalaam wa sayansi mgumba huwa anazaa?[/color]
Ningekupa mifano mingi sana, ila nikuambie tu kuwa Mungu hutenda katika utaratibu ambao mwanadamu hawezi kabisa.
Mwisho nakupa onyo, ukikaa na huumsimamo kichwani utafrisika muda si mrefu na utakuwa maskini kabisa. Mungu si mwanadamu wa kupangia atende kama mwanadamu, eti uwepo na nuru na giza unategemea dunia na nchi, mbona hujajiuliza hiyo nuru na giza vilitoka wapi? Nakuambia neno la kinabii, ukiendelea kuwa na huo msimamo na kupotosha watu sure haupiti mwaka mmoja utakuwa na hali mbaya kimaisha na hapo ndiyo utajua UKUU wa Mungu.
ulimwengu una sheria zake mkuu
na hizo sheria ndiyo zinazo ufanya uwe kama ulivyo
kila system katika ulimwengu ina obey hizo sheria na kamwe hazibadilika
makosa yote unayoyaona katika kisa hicho cha uumbaji ni makosa ambayo waandishi wa biblia waliyafanya kutokana na uelewa wao finyu wa hizo sheria
kama wewe unapenda kujifunza kuliko ubishi,basi nenda kasome mwanzo chapter one,pamoja na mwanzo chapter two halafu vilinganishe,utajua nini ninacho maanisha
Utendaji wa Mungu ni wa ajabu na miujiza. Utaratibu wa Mungu vilevile. Angalia kwenye biblia Mungu anampitisha Samson kuzaliwa na mgumba. Je,watalaam wa sayansi mgumba huwa anazaa?
Ningekupa mifano mingi sana, ila nikuambie tu kuwa Mungu hutenda katika utaratibu ambao mwanadamu hawezi kabisa.
Mwisho nakupa onyo, ukikaa na huumsimamo kichwani utafrisika muda si mrefu na utakuwa maskini kabisa. Mungu si mwanadamu wa kupangia atende kama mwanadamu, eti uwepo na nuru na giza unategemea dunia na nchi, mbona hujajiuliza hiyo nuru na giza vilitoka wapi? Nakuambia neno la kinabii, ukiendelea kuwa na huo msimamo na kupotosha watu sure haupiti mwaka mmoja utakuwa na hali mbaya kimaisha na hapo ndiyo utajua UKUU wa Mungu.
Kwanza angalia vizuri quatation ya chapter na verses kuna jambo unachanganya. Lakini ukitaka kuona maajabu jiulize kuku na yai lipi lilianza ukipata jibu. Utajua kwa nini jua, nyota, viumbe vingine vimeumbwa kwa kufuata logic ya mtengenezaji na sio logic yetu baada ya uwepo wa vitu hivyo.
Kingine kama we muumini mzuri chapter 1 hadi 7 ya kitabu cha mwanzo kuna mambo hata science imeshindwa kuyaweka bayana,hivyo yanaachwa kama yalivyo
Sayansi haijashindwa kitu. Kitu hakipo.
unaamini sheria hizo ziliwekwa na Mungu, Unaamini Bibilia pia au unaitumia kama chombo cha kubariki mambo unayoyaamini/critics
Kuprove hizo sheria ziliwekwa na Mungu,
Anaonyesha ownership ya kila kitu alipokuwa anaongea na Ayubu icluding Rainfall formation, etc
Anaweza kuzifunja kama alivyosimamisha jua. kumfanya punda aongee na mtu, kutembea juu ya maji, mifano michache,
Mimi nafikiri mwanzo moja,mbili tatu haziko katika chronogical order. Na hapo ndio mzizi wa kutokuelewa kwako. Mambo yaliyoandikwa mwanzo moja, yakafafanuliwa tena mwanzo mbili. Aina ya uandishi isikufanye ukadisqualify the living truth.
Bahati mbaya mimi ni mvivu wa kutype kwa hiyo nakuacha hivyo hivyo wala hatulipwi hapa
chukua like mkuu
Kua na avatar ya Einstein, au jina Einsten Newton doesn't make you a scientist. Physics unayojua ni kidogo sana, bado upo kwenye basics kabisa kwa hiyo don't come here pretending to know everything. I suggest leave watu wa faith alone kwa sababu there's nothing you can do to stop religion, it has always and will always be there. Tafuta kazi nyingine ya muhimu ya kufanya maana naona unapoteza muda kusoma Bible kama unaisoma kwa kuikomoa. Alafu hizo explanations zako ulizotoa ni jinsi tu ulivyotafsiri wewe, kila mtu anatafsiri anavyojua.
Maelezo yako yamejawa chuki na wivu, kutokujua kwako chochote isiwe sababu ya wewe povu kukutoka kiasi hiki.
By the way hakuna mwenye shida ya kuzuia dini hapa, ila tunaongea ukweli hivyo kama unaumia sana ask your religion to defend you.
Na kama unajijua humlipii mtu bills basi usipoteze muda wako kumpangia cha kufanya.
Sina chuki na mleta mada kama unavofikiri, simfahamu hanifahamu. Na usiseme "kutokujua kwangu", hunijui mtanzania. Kama ni Physics na mimi nimesoma, Biology, Chemistry, Mathematics, kwa hiyo usikae ukajidanganya hizo basics anazoongelea mleta mada kua sizijui, ni vitu basic sana hata mtoto wa sekondari anajua. Hiyo basic physics sio kuanza kujifanya wanasayansi humu ndani wakati wanasayansi wa kweli wapo busy wanafanya mambo ya maana.

Yeye wala hakujifanya mwanasayansi huo ni mtazamo wako tu uliotokana na either wivu au panic, kama unajua kama anaongelea vitu vya kawaida mbona badala ya kujibu hoja unakaa kumjadili mpaka avatar yake? Smh