wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli
hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji
mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"
uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)
sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?
mwanzo 1:9-13
Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu
kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae
mwanzo 1:14-19
Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku
lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua
wakristo mnahitajika hapa tafadhali!
you make me laugh mkuu.
unasema kuwa hata malaika wa mbinguni hawamjui,lakini malaika Gabriel anajitambulisha kwa mariam kama malaika anayesimama mbele ya kiti chake cha enzi...hapa bado hamjui?
back to the topic,Mungu hajulikani kama ulivyosema,lakini biblia inajulikana kama Neno lake
sasa kama neno lake mwenyewe limecontain fallacy ilihali yeye ndiyo omniscient,iweje tuendele kumuamini?
So you know you cannot find proof in religion. What are you looking for in the bible? What kind of proof are you asking for if you already know there is none?
Take it or leave it. Life goes on.
mtoa mada tuambie hivyo vifungu vya biblia ni kutoka toleo gani la biblia. Sijawahi kusoma biblia inayosema Mungu aliumba jua au mwanga siku ya nne. ukweli ni kwamba mwanga uliumbwa siku ya kwanza, na ndio ilikuwa kazi ya kwanza ya mungu
Ungekuwepo wakat dunia inaumbwa ningekuelewa. Kile ambacho unaona kidunia principle kwa Mungu ni kinyume ukitaka kujua mwamini na uombe akuonyeshe majib ya maswali yako lakin sio kutumia principle za waumbwa
Siungemuomba akupe majibu ulete hapa sasa! Watu wengine sijui mnapost mkiwa mmelala au vipi.
Mkuu Areta,watu kama hawa huwa wananichekesha sana
ananiambie niombe ili mungu anipe majibu
kwanini asiombe yeye ili apewe hayo majibu,baada ya kupewe ayalete hapa?...this is funny
It's you committing fallacies for you have no idea about how the narratives were gathered and organised and whether what they present is a history of eg creation or a theology of creation. If it's a history then everything recorded follows in a chronological order and if it's a theology, then the chronological order doesn't matter what it matters is the message, which is intended for the addressees. My point is that it's not a history and so the arrangements are not necessarily in a chronological order. In this sense, the logic of history is not the logic of theology.
Fumbua kwanza jua,mwezi na nyota maana yake ni nini.
Mkuu Areta,watu kama hawa huwa wananichekesha sana
ananiambie niombe ili mungu anipe majibu
kwanini asiombe yeye ili apewe hayo majibu,baada ya kupewe ayalete hapa?...this is funny
Kwanza hakuna majibu yanayopatikana kwa kuomba. Yangekuwa yapo basi hawa wote wangekuwa wameshapata majibu na kuyaweka hadharani ili huu mjadala uishe
you said it all princess
Maombi yangekuwa yanafanya kazi kusingekuwa na makapu ya sadaka makanisani
ni swala la kuomba pesa tu,kisha mungu anazileta!!
Absolutely.
Ila sasa tatizo wana macho lakini hawaoni..... Wana masikio lakini hawasikii
That's your own making! What Christians believe is that biblical narratives are inspired and may not necessarily be factual (explaining what exactly happened eg God fashioning Adam from the earth and Eve from Adam's ribs), but theological (explaining what's behind the narrative - that we come from him). If we read that God created the world in six days and rested on the seventh, it doesn't mean he followed the calendar we have today because at the time he created there was no calendar (no Monday-Sunday). It's also the case that the narratives are not necessarily in a chronological order, but are arranged according to themes.
Wewe nadhani ni mpagani hauna dini..huko duniani kama sanamu :eek2:Siku ya mwisho ni ile unayokufa tu wala hakuna zaidi