Nikilewa mniache
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 19,294
- 51,915
kuna loophole mingi kwa biblia.kama abel alizaa na nani?may inasemekana ni dadake bt that was against the torah.Back to genesis adam.eve and garden of eden is an allergory.reliog is a dogma.
That's a very lame argument,it's like arguing that if you punish you kids then you are not a loving compassionate parent!
God uses suffering to
1.Punish sin either directly or indirectly
2.To produce good
3. Reinforce our believe in him[/QUOT
bullshit, you punish kids for a reason lakini sio reason za kipuuzi kama za kule, sasa wewe unasabisha mtu afanye kosa kutokana na uwezo wako ulio nao alafu unampa adhabu tena yule mtu kwa kufanya lile kosa ambalo ume mset afanye?? aliufanya moyo wa farao ukawa mgumu alafu akaendelea kawatesa wamisri na walikua ni wamisri wote sasa hapo alikua analipiza kisasi au ni hasira za kipumbavu kiasi gani?
Uyu dogo labda kakosa nini kustahili adhabu hii?
Je kuna nini tunaweza kujifunza kutokana na uumbaji wa mateso ya namna hii, hata kama ni mazingira yamechangia, kwanini huyu mtoto??
Kwa namna hii tutaamini ni miujiza ya mungu, au tutaamini ni shetani ndo inamuadabisha?
bullshit, you punish kids for a reason lakini sio reason za kipuuzi kama za kule, sasa wewe unasabisha mtu afanye kosa kutokana na uwezo wako ulio nao alafu unampa adhabu tena yule mtu kwa kufanya lile kosa ambalo ume mset afanye?? aliufanya moyo wa farao ukawa mgumu alafu akaendelea kawatesa wamisri na walikua ni wamisri wote sasa hapo alikua analipiza kisasi au ni hasira za kipumbavu kiasi ganiThat's a very lame argument,it's like arguing that if you punish you kids then you are not a loving compassionate parent!
God uses suffering to
1.Punish sin either directly or indirectly
2.To produce good
3. Reinforce our believe in him
Nina swali kwako einstein newton kinaanza kipi kati ya kuku na yai?
Alafu acha kupotosha, Nuru ni nini kwani? Ndo kitu cha kwanza kuumbwa....... Haya mambo ya uumbaji na science ya mzungu huwa siku zote haviwezi vikakubaliana....
Hivi karibuni project yao ya CERN imekamilika ili waweze kuthibitisha kuwa big bang theory ilikuwa kweli kwa ku kugonganisha two positive subatomic particles ili kupata what they call "God's particles".
Hii yote ni kuondoa kile tunachoamini kuwa kweli sio kweli.... na hawata fanikiwa zaid ya kuleta dark forces na kusingizia ni beings from other universe... maana wanadai kuna parallel universes
bullshit, you punish kids for a reason lakini sio reason za kipuuzi kama za kule, sasa wewe unasabisha mtu afanye kosa kutokana na uwezo wako ulio nao alafu unampa adhabu tena yule mtu kwa kufanya lile kosa ambalo ume mset afanye?? aliufanya moyo wa farao ukawa mgumu alafu akaendelea kawatesa wamisri na walikua ni wamisri wote sasa hapo alikua analipiza kisasi au ni hasira za kipumbavu kiasi gani
quite interesting topic i have been reading word to word since yesterday upto now. waiting for theist to come with their confused and fallacious theological defences.wale watoto wa kwanza wa kiume waliouwawa na malaika nao walikuwa na makosa gani?
I'm ape,your right,because your biological make up envolved from me
but you are still failed abortion whose birth certificate is an apology from condom factory!
shame on you mrs!!
Mr not mrs
that was an insult which demand no collection!
quite interesting topic i have been reading word to word since yesterday upto now. waiting for theist to come with their confused and fallacious theological defences.
Ok mkuu..ila ni correction or collection!
(Anti-Christs)...hizi ni siku za mwisho acha kumkana muumba wako
wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli
hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji
mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"
uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)
sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?
mwanzo 1:9-13
Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu
kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae
mwanzo 1:14-19
Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku
lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua
wakristo mnahitajika hapa tafadhali!
According to atheist scripture, to be specific.If you are familiar with your own doctrine,Anti-christ according to scripture is the one who dwell in "vatican",the so called pope and not me buddy
I'm atheist by the way!!!
According to atheist scripture, to be specific.
Based on the teachings of your lord and king, lucifer to be specific.I guess you are mistaken about the whole notion of atheism
atheists have neither scripture nor holy books at all....
my argument was based on bible scripture and nothing else
Based on the teachings of your lord and king, lucifer to be specific.