Error zinazojitokeza wakati wa ku install games

Ndio hivyo mkuu.... Mi sikununuaga pc hadi nilipopata mkwanja wa maana ndio nikavuta pc... Nacheza game kubwa zote kweny setting za ultra (game inakua clean hadi basi)... Jichange upate hata 700 tu utapata mashine amazing kwa washkaji.
 
hata 700 tu utapata mashine amazing kwa washkaj
ina mana hata mia tano (500) sipati mashine nzur mwana. unajua napenda pc coz ina mambo mengi pia. sio kama playstion game cd zenyewe tu bei kixenzi.
 
ina mana hata mia tano (500) sipati mashine nzur mwana. unajua napenda pc coz ina mambo mengi pia. sio kama playstion game cd zenyewe tu bei kixenzi.
Unapata sema ukishataka mashine yenye card tu... Ndio shida inaanza hapo... Utasaka sana.... Ila ukijipinda kuna jamaa alikua na i3 ina gpu nzur tu... 2gb za nvidia kwa 600 tu
 
.
Mkuu kama wewe ni mpenda magemu usipate shida siku hizi kuna console nyingi za magemu
Mimi nakushauri ununue PS3 kiasi ambacho ni laki 3 had 3 na nusu (kwa MTU) ukisha nunua hapo utakua una uhakika was kucheza games kwa asilimia 100% kama
GTA 5 100%
Pes 16 .100%
Last of us 100%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…