Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,514
- 14,238
Mi nafikir kabla ya ku install game basi hakikisha una direct x zote kweny pc yako kuanzia 2009 hadi za leo hii, kisha uwe na Microsoft Redistributable Package za kuanzia mwaka 2009 pia had za leo hii, kisha net framework ziwepo, and finally mashine yako iwe na latest drivers.. Kama una nvidia basi install panel yake itakua rahisi kupata update ya driver zako n vice-versa kweny panel zingine kama intel na RadeonKwa wale wajuzi wa na wapenzi wa PC games, mtakuwa mnajua kuwa kuingiza game kwenye pc wakati mwingine inasumbua ikiwa ni pamoja na kuleta baadhi ya maneno wakati wa kufungua au kuingiza game, mfano
d3d9_dll is missing
Engine error
Fatal error
Direct missing
Could not load library client, nk
Sasa kwa wale wajuzi tunaomba kushare ujuzi wenu ili na sisi wengine ambao ni wapenzi wa PC games tuweze kufaidi uhondo huu.
Natanguliza shukrani
Asante mkuu, Sasa kutokana na hayo matatizo hapo juu, utajuaje kama kitu fulani ndicho kinamiss?Mi nafikir kabla ya ku install game basi hakikisha una direct x zote kweny pc yako kuanzia 2009 hadi za leo hii, kisha uwe na Microsoft Redistributable Package za kuanzia mwaka 2009 pia had za leo hii, kisha net framework ziwepo, and finally mashine yako iwe na latest drivers.. Kama una nvidia basi install panel yake itakua rahisi kupata update ya driver zako n vice-versa kweny panel zingine kama intel na Radeon
Kwakuzngatia hayo plus kuzijua minimum requirements za game husika, hii itakusaidia kuepukana na hayo majanga uliyo yasema.
Ukiona hyo direct missing ulotaja, au files zenye extensions ya Dll mwishon ujue ni direct x hapo.... Ndo mana nakwambia ukiweka direct x zote na Microsoft Redistributable zote inakua issue sana kukutana na hizo errors.... Kikubwa kwanza hakikisha hizo package zipo incase ikitokea error basi inakua ni issue nyingine labda...Asante mkuu, Sasa kutokana na hayo matatizo hapo juu, utajuaje kama kitu fulani ndicho kinamiss?
OK, vp ikitokea umeweka game wakati wa kulifungua kuplay linakuwa kama linataka kufunguka halafu inakuja black kama linataka kufunguka halafu linapotea... Tatizo nini hapaUkiona hyo direct missing ulotaja, au files zenye extensions ya Dll mwishon ujue ni direct x hapo.... Ndo mana nakwambia ukiweka direct x zote na Microsoft Redistributable zote inakua issue sana kukutana na hizo errors.... Kikubwa kwanza hakikisha hizo package zipo incase ikitokea error basi inakua ni issue nyingine labda...
Error zingine ukirun game as administrator basi unashangaa linacheza fresh tu.
Jaribu ku run as administrator... Alaf pia ukipata errors kama hizo pia chek specifications za game na pc yakoOK, vp ikitokea umeweka game wakati wa kulifungua kuplay linakuwa kama linataka kufunguka halafu inakuja black kama linataka kufunguka halafu linapotea... Tatizo nini hapa
mkuu kidogo wewe naona mtukutu na haya mambo me kompyuta yangu tangu umeme ukatike jana nikiwasha inaandika missing operating system basi inabaki hivo hivo nifanyeje?Jaribu ku run as administrator... Alaf pia ukipata errors kama hizo pia chek specifications za game na pc yako
Pia unaweza rud kweny site uliyo download hilo game na angalia comments za wengne kama wanapata errors kama yako... Sometimes ni shida ya game yenyew na unaeza kuta wmeweka fix ya hilo tatizo hivyo ni vizur kusoma comments na instructions za ku install game husika
hapo itabidi uwe naKwa wale wajuzi wa na wapenzi wa PC games, mtakuwa mnajua kuwa kuingiza game kwenye pc wakati mwingine inasumbua ikiwa ni pamoja na kuleta baadhi ya maneno wakati wa kufungua au kuingiza game, mfano
d3d9_dll is missing
Engine error
Fatal error
Direct missing
Could not load library client, nk
Sasa kwa wale wajuzi tunaomba kushare ujuzi wenu ili na sisi wengine ambao ni wapenzi wa PC games tuweze kufaidi uhondo huu.
Natanguliza shukrani
Unatumia pc gani na ilikua a window gani?mkuu kidogo wewe naona mtukutu na haya mambo me kompyuta yangu tangu umeme ukatike jana nikiwasha inaandika missing operating system basi inabaki hivo hivo nifanyeje?
Una pc gan na game gan hilo lipo slow kwakovipi na hii ya game kuwa slow na vigezo vyote v inavyohitajika vipo kamili
mambo yalUnatumia pc gani na ilikua a window gani?
mbona game umechukua la zaman hvo. embu jalibu pes2013 requarement zake naona sio kubwa sana gpu 256mb lakin hata kama una gpu ya 128mb linrun vizuri tu.wakuu naomba msaada, nimedownload game ya fifa 2006 iko kwenye format ya RAR, sasa wakati wa kufanya extraction nimeambiwa niingize password, kwa yeyote anayejua password yake au jinsi ya kuipata naomba msaada kwasababu ni mara yangu ya kwanza kudownload game.
Msaada tafadhari
af nilichogundua mkuu kikubwa kwenye gemu ni gpu. tatzo pia kwenye requarement za gemu husika gpu huwa hawaiweki. unakuja kuiona wakati uxainistall.Mi nafikir kabla ya ku install game basi hakikisha una direct x zote kweny pc yako kuanzia 2009 hadi za leo hii, kisha uwe na Microsoft Redistributable Package za kuanzia mwaka 2009 pia had za leo hii, kisha net framework ziwepo, and finally mashine yako iwe na latest drivers.. Kama una nvidia basi install panel yake itakua rahisi kupata update ya driver zako n vice-versa kweny panel zingine kama intel na Radeon
Kwakuzngatia hayo plus kuzijua minimum requirements za game husika, hii itakusaidia kuepukana na hayo majanga uliyo yasema.
Mkuu nimejaribu pes 2013 linagomagomam
mbona game umechukua la zaman hvo. embu jalibu pes2013 requarement zake naona sio kubwa sana gpu 256mb lakin hata kama una gpu ya 128mb linrun vizuri tu.
eeeh inaonekana computa yako uwezo nmdogo sana. gpu yake ina ukubwa ganapes 2013 linagomagoma
Ndio hvyo mkuu sio site zote watasema requirements za game... Kikubwa ww unatkiwa ufany ku Google requirements ujue zikoje ndio uka downloadaf nilichogundua mkuu kikubwa kwenye gemu ni gpu. tatzo pia kwenye requarement za gemu husika gpu huwa hawaiweki. unakuja kuiona wakati uxainistall.
Acha tu... Kikubwa kuwa na mashine nzur.. Mie siangaliagi requirements wala nini coz najua tu mashine haiez niangusha [emoji3] [emoji383]af nilichogundua mkuu kikubwa kwenye gemu ni gpu. tatzo pia kwenye requarement za gemu husika gpu huwa hawaiweki. unakuja kuiona wakati uxainistall.
dah we acha tu kama mm napenda xana game za assassin creed. nilidownload assassin creed tu. nimefika level flani likagoma na likafuta data zote. ikabidi nianze upya. sasa hivi ndo linazingua mwanzo mwisho sichezi hata nusu saa linastack. computa inajizima. na mbaya zaidi sometime linafuta data tena naanza upya. gpu yake 256mb. me compyuta yangu ina 128mb.Ndio hvyo mkuu sio site zote watasema requirements za game... Kikubwa ww unatkiwa ufany ku Google requirements ujue zikoje ndio uka download
Acha tu... Kikubwa kuwa na mashine nzur.. Mie siangaliagi requirements wala nini coz najua tu mashine haiez niangusha [emoji3] [emoji383]