Error hii ya modem maana yake ni nini?

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
Habari zenu wana tech &gadgets,
Nina modem ya voda. Nimeitumia huu ni mwezi wa pili sasa, lakini inaanza ku-gererate errors za ajabu. Nikiiweka kwenye laptop yangu inaleta error inayosomeka:" Vodafone Mobile Broadband has encountered a problem and needs to close. We are sorry...." Halafu kweli inajifunga! Nina-restart computer na ku-reinstal modem na mambo yanaenda sawa.
Je, wataalam, tatizo ni nini? Kila ikisumbua nina-restart na kureinstall na vyote hivi ni usumbufu mkubwa. Nifanye nini cha maana kuondokana na usumbufu huu?
 
Kama modem yako ni zte, jaribu kutumia join air kama alternative
 
Kama modem yako ni zte, jaribu kutumia join air kama alternative

Asante lakini ndugu umenijibu kitaalam sana. Mimi ni layman mbumbumbu kabisa sielewi zte ni mdudu mwenye miguu mingapi wala hiyo join air ni nini. Join air ntaipata wapi niijaribishe MtotoSix?
 
Last edited by a moderator:
join air ni programu ambayo inafanya kazi sawa na programu ya vodafone mobile partner kwa ajili ya modem za voda. join air inawezesha kutumia line tofauti na voda (kama utataka kutumia line ingine). ngoja nikuangalizie link ya kudownloadia join air wataiweka wadau hapa muda si mrefu
 
  • Smart BRO: http://www.mediafire.com/?2yalb4or5b3nhbr
  • Globe Visibility: http://www.mediafire.com/?4b178go5smtaf4m
  • Join AIR: http://www.mediafire.com/?xg2gimqrmlyp9hg
  • 3Connect: http://www.mediafire.com/?gnexolxavgut73d
CHAGUA MWENYEWE
 
Back
Top Bottom