Mkuu hiyo ilinikuta wakati naipiga windows 7 kwenye PC... Nikabadili image nyingine ya 7 bado nikakutana na error hiyo hiyo. Halafu sijajua ni kwa nini kwenye DELL ndo wanaexperience hiyo kitu. Sijakutana na hp, Toshiba, Asus au brand nyingine ya kukutana na error hiyo.
Sasa jaribu kuchange OS hiyo... Tumia windows 8... Au kama ni 7 tumia 32-bit inaweza ikawork.
All the best.