nafkiri,ni matatizo yaliyopo kwenye server tu. Au network,Unapo design webpage ambayo itahusisha interaction za watu wengi,lazma uimarishe vitu,vingi ile iweze kustahimili.

Leo imejirudia ina maana server ya JF imezidiwa. Maana kila jioni huipati JF wakati nyingine km yahoo, Facebook, Google zipo
Nasi km ni Server tuhimizane ile michango