Huyo mdogo wako ni sawa na mdogo wangu,yeye wamemweka headquaters lakini hali yake ni mbaya sana.
Ni kweli BOT waliangalie hili suala.
HATARI zaidi wamewapa access ya kila Kitu wakitaka kuwapiga ni very simple..BOT IPO , wizara ya kazi IPO..sijui wanafanya nini?? Mbaya zaidi hao EROLINK hawawatreat fairly hao wafanyakazi..wanawafanya kama vibarua wao wakati wanawaingizia fedha..wanatumia unyonge wao wa kutokuwa na ajira kuwanyanyasa...!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mkuu erolink nijanga
Nliwaifanya nao vodacom kitengo cha customercare wanyanyasaji hasa na istoshe wamepandikiza watu wao pia so kila mnachotakakukifanya kupigania maslai wao wanakijua dawa ni kuachana nao tu mana hawakamatiki popote.wanatumia ubabe wanafukuza kama mbwa
Acheni kubwatuka hamna facts, research wala law...duh hyo data ya 70% hata sijui mmeitoa wapi ...aluu bado inabidi tujielimishe
Sent from JamiiForums