Wananjamvi kuna issue imekuwa ikinisumbua muda mrefu, nina mdogo wangu alimaliza chuo kikuu 2011,katika harakati za kutafuta ajira akafanikiwa kutafutiwa kazi na hawa jama EROLINK na akawa attached NBC kama karani wa bank kwa makubaliano baada ya miezi sita atakuwa full employed na NBC. Cha ajabu sasa ni mwaka unaisha hakuna cha ajira, anabaki kusainishwa vimkataba vya miezi mitatu mitatu..
Swali la kujiuliza hivi kweli hizi bank zinaruhusu kuajiri temporary staff for more than a year.??na kwa habari za chinichini inasemakana 70% ya staff wa NBC ni temporary staffs as outsourced by EROLINK..kwa kufanya hivyo kunawanyima hawa wafanyakazi haki zao nyingi za msingi kama vile Bima ya afya, uniform za kazi,staff loans..n.k..
My take sekta ya Bank ni very sensitive, huwezi kuajiri temporary staff for more than a year na ukampa full access ya kila kitu ndani ya Bank. Tunapoelekea kunahatarisha usalama wa fedha zetu coz matukio ya wizi ndani ya bank yanaweza kuongezeka coz hawa temporary staffs they are lowly paid automatically watakuwa na tamaa..vile vile service watakayokuwa wanatoa tofauti na yule mtu ambae yupo parmanently employed.. Ningependa kutoa ombi kwa BOT walichunguze hili as well as Wizara ya Kazi kabla mambo hayajakuwa mabaya..