Ernesto Che Guevara

ni mtumwa wa kiimani huyo asyejua kwamba ukoloni haungekuwepo bila muunganiko wa huo unaoitwa ukristo.rip che

naona ideas za sigmund freud zinakuchanganya, hakuna suluhisho la mahitaji ya binadamu zaidi ya dini, kila tatizi lako wewe kama binadamu, ukikosa ufumbuzi wa kisayansi lazima urudi kwenye dini, dini ndio msingi wa maisha ya binadamu, haziwezi kufutika kwa sentensi zako mbili
 
mkuu BUBE usidanganywe na maelezo ya uwongo aliyoyatoa TANGO hapo juu yenye lengo la kumchafua che. kiukweli che alikua mtu aliyetoa maisha yake kuwapigania maskini kote duniani. naweza kusema baada ya YESU na MTUME MUHAMAD, ni che ndio anafuata.
amezunguka maeneo mbalimbali duniani(alishafika tanzania) ikiwemo congo drc na bolivia kuwapigania maskini na aliuawa akifanya kazi hiyo. hiyo ndio sababu picha yake ni maarufu sana hapa duniani, hata hao mabeberu waliomuua sasa wanavaa t-shirts zenye picha ya che. kwa hapa dar hayawezi pita magari 20 usilione gari moja lenye sticker ya che




mkuu nashukuru kunifungua macho>
nimeona hapa dar picha yake kwenye magari mengi lakini kila mara najiuliza huyo ni nani sipati jibu>>>>>
 
acha kutulisha matango pori we Tango73,huyo jamaa alikuwa poa mno
 
Last edited by a moderator:
Nimesomea udsm, ckuwahi kusikia ubaya wa Che. Wewe ni wa kwanza kusikia ukimsema vbaya. Umesahau tu naàlivyokuja Congo
 

Kwa taarifa tu Che Guevara ni maarufu sana, kwa picha potrait maarufu duniani ya kwanza ni Yesu, ya pili ni
Che Guevara hakuna cha Clinton, Lenin wala cha Mandela, alijitoa na watu wanampenda kutoka moyoni
 
Ukomunisti nu ushetani....che ni mfuasi wao
 

So, sielewi. NI kweli Dar magari mengi nimekuwa nayaona yanakuwa na picha yake. Bahati mbaya wenye magari sina hata mmoja ambaye ni rafiki yangu ili nimwulize anipatie taarifa zaidi kuhusu Che. Kimsinig alichoandika TANGO ni kweli kimenistua. Nakumbuka mtoto wa rafiki yangu (kijana mdogo yupo form two) alikuwa anamsifia.....but sikujua undani wake
 
ukweli ndio huo niliokupa mkuu. che alikua mtu wa watu lakini kwa kua alikua anahatarisha maslahi ya marekani basi wakamsaka wakamuua. rafiki yake fidel castro amenusurika mara nyingi kuuawa na hao mashetani wanaoitwa wamarekani. kuna muda walitaka wamletee ciger yenye explosion(mlipuko) ili atakapoiwasha imlipukie afe lakini MUNGU akasimama upande wa castro. kumbuka pia namna eduardo mondlane alivyouawa(walimtumia bahasha yenye bomu) kwa mitindo inayofanana na huo waliopanga kuufanya kwa castro ukafeli




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…