Eritrea panatisha, Bora Tanzania

Hio misingi ndio imetufikisha kwenye udikters
Nadhani CCM wenyewe walishawishiwa kuanza kufanya mabadiliko ambayo mwl aliyapinga binafsi.

Na mabadiliko hayo yalikuwa ya kuuza utaasisi wa chama na kufanya chama kiwe mali ya mtu.

Ni ujinga hata kama unamuamini mtu kiasi gani huwezi kumuuzia haki zako

Hasa suala la kumfanya mtu mungu mtu kama walivyomfanya Magufuli.

Mbali na mapenzi yao kwa Nyerere enzi hizo lakini ndani ya vikao vya chama alikuwa criticized hiyo ndiyo ilikuwa taasisi.
 
Asalaam alaikum. vipi hali zenu popote mlipo? Nahitaji cours ya After effet vidio production. Hivyo naomba kuelekezwa chuo au mtu anaye weza kunisomesha pesa zipo na sihitaji lazima niwe na cheti. +255624960047 (call & whatsapp) ~ +255777496444 (whatsapp only)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noma sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzetu mnapata wapi exposure ya kutalii nchi hiivi.? Jamani, wengine sisi toka tumezaliwa tuko Tanzania tu. Lakini ukiingia Jf, unasikia mara niko Eritrea, mara USA, Congo, Nigeria, Misri, nk. Wengine sisi tutatebeaga lini kupanua fikra.? Tupeni njia jamani ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda Veta yoyote au vyuo vya ufundi pia kama DIT, ATC au MUST

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…