Wanapata tabu sanami nachangamsha tu mjadala. hawa ni wanawake wa ki-eritrea.View attachment 1234372View attachment 1234374View attachment 1234375View attachment 1234376View attachment 1234377View attachment 1234378View attachment 1234380View attachment 1234382
Ni ujinga kuifananisha nyerere na huyo raisi wako wa Eritrea.
Nyerere alijenga misingi ya nchi.
Sio huo upumbavu wako wala kutufananisha na huko
Hivi inakuwaje mtu mmoja anaweza kuwaburuza mamilioni atakavyo?.Ndio kusema Africa hamnaga wana mapinduzi wa kweli.
Kuna watu hawaipendi Tanzania yetu, bora wahamie huko.Nchini Eritrea hakuna mashine za ATM na kadi za simu ni bidhaa adimu
15 Oktoba 2019
Mafunzo ya jeshi ni lazima kwa vijana nchini Eritrea
Eritrea imekuwa ikielezwa kuwa moja kati ya nchi ambazo zinaelezwa kuwa watu wake wanakosa misingi muhimu ya uhuru wa dini na kisiasa.
Suala hili si la ajabu kutokana na kuwepo kwa utawala wa chama kimoja chini ya raisi Isaias Afwerki ambaye amekuwa madarakani tangu ilipopata uhuru wake kutoka kwa Ethiopia mwaka 1993.
Serikali ilipiga marufuku vyama vya upinzani na vyombo vya habari binafsi, pia iliwafunga wakosoaji wa serikali (baadhi ambao hawajasikika kwa miaka sasa) na kuwasajili jeshini vijana wadogo.
Hali hii iliwafanya mamia ya raia wa Eritrea kuikimbia nchi hiyo, Mwandishi wa BBC ameandika namna ambavyo serikali imekuwa ikiyadhibiti maisha ya watu.
1) Kadi za simu ni gharama
Mtandao wa simu unaomilikiwa na serikali, Eri Tel ndio pekee unaotoa huduma za mawasiliano. Huduma zinazotolewa ni mbaya, na unadhibitiwa vikali na serikali.
Ripoti ya Shirikisho la kimataifa kuhusu masuala ya mawasiliano inasema kupenya kwa huduma za mtandao wa intaneti nchini Eritrea ni juu ya asilimia 1.
Wananchi wanapaswa kujisajili serikalini ili kupata kadi ya simu.
Na hata ukupata kadi, huwezi kuitumia ili kupata mtandao wa intaneti kwa sababu hakuna data.
Watu hulazimika kupata mtandao wa kutumia WiFi, lakini mtandao uko chini sana. Kuingia kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook na Twitter, watu hutumia mtandao wa VPN (virtual private network) ili kuzuia udhibiti wa serikali.
Kwa kuwa kuna ugumu mkubwa wa kupata kadi za simu, watu bado wanategemea simu za Umma za kulipia kabla ya mazungumzo.
2) Watu hutoa hela ndani ya benki pekee
Hela ya Eritrea
Serikali imeweka sheria kali kuhusu kiasi cha fedha kinachotolewa na wateja wa benki kutoka kwenye akaunti zao.
Hata kama wana mamilioni ya fedha katika akaunti zao, wanaruhusiwa kutoa kiasi cha dola za Marekani 330 kwa mwezi.
Wafanyabiashara hupendelea kuwa na fedha mkononi kwa kuwa mzunguko wa fedha ni mdogo.
Hakuna mashine za kutoa fedha (ATM) nchini Eritrea .Ikiwa kuna shughuli ya harusi siku za usoni, na wahusika wakihitaji fedha zaidi, huomba barua ya kibali kutoka serikalini kwenda benki , na kuruhusiwa kutoa zaidi ya kiasi kilichowekwa na serikali.
Raia wa Eritrea wametoa maoni tofauti kuhusu sababu za serikali kuweka vikwazo katika kutoa fedha. Baadhi wanasema nia ya serikali ni ''kujenga tabia za watu wenye kujiwekea akiba na kupambana na gharama za maisha'' wengine wakisema kuwa ''serikali haipendi shughuli za kibiashara. Hivyo kudhibiti mzunguko wa fedha''.
3) Kuna televisheni moja pekee nchini humo.
Watu wengi wanapenda kutazama chaneli za kigeni za televisheni
Eri-Tv ni televisheni pekee iliyo nchini ya serikali ya Eritrea. Ni chombo kinachoisemea serikali, lakini ukiwa na satelaiti unaweza kutazama televisheni nyingine za kimataifa.
Kamati ya kutetea waandishi wa habari (CPJ) inatazama kwa karibu suala la uhuru wa vyombo vya habari nchini Eritrea, ikiitaja kuwa nchi inayodhibiti zaidi uhuru wa vyombo vya habari'', nyuma ya Korea Kaskazini.
Hatahivyo, Waziri wa habari Yemane Meskel anasema kuwa asilimia 91% ya nyumba za watu zina mabeseni ya satelaiti.
4 ) Vijana wadogo wanataka kuondoka
''Kupata pasi ya kusafiria ni kama ndoto iliyokuwa kweli,'' anasema kijana mmoja.
Lakini anasema vijana hawapewi pasi za kusafiria mpaka baada ya kufuzu mafunzo ya jeshi.
Wengine huhatarisha maisha kwa kufanya safari wakivuka bahari ya Mediterrania ili kufika Ulaya, wengi hufa kutokana na njaa na kiu kwenye jangwa na baharini.
Mkuu usiseme afadhali ya Tanzania wakati,Magufuli ndo anatamani tufike huko, wakati wa kikwete hali haikuwa Kama ilivyo leo.Nchini Eritrea hakuna mashine za ATM na kadi za simu ni bidhaa adimu

Duh! Huko inatakiwa ukienda unamuiba mmoja au wawili unakuja nao huku kwetumi nachangamsha tu mjadala. hawa ni wanawake wa ki-eritrea.View attachment 1234372View attachment 1234374View attachment 1234375View attachment 1234376View attachment 1234377View attachment 1234378View attachment 1234380View attachment 1234382
Tanzania majina ya vituo vya televisheni ni mengi lakini taarifa ya habari ni moja kwa vituo vyote.Nchini Eritrea hakuna mashine za ATM na kadi za simu ni bidhaa adimu 15 Oktoba 2019
Mafunzo ya jeshi ni lazima kwa vijana nchini Eritrea
Eritrea imekuwa ikielezwa kuwa moja kati ya nchi ambazo zinaelezwa kuwa watu wake wanakosa misingi muhimu ya uhuru wa dini na kisiasa.
Suala hili si la ajabu kutokana na kuwepo kwa utawala wa chama kimoja chini ya raisi Isaias Afwerki ambaye amekuwa madarakani tangu ilipopata uhuru wake kutoka kwa Ethiopia mwaka 1993.
Serikali ilipiga marufuku vyama vya upinzani na vyombo vya habari binafsi, pia iliwafunga wakosoaji wa serikali (baadhi ambao hawajasikika kwa miaka sasa) na kuwasajili jeshini vijana wadogo.
Hali hii iliwafanya mamia ya raia wa Eritrea kuikimbia nchi hiyo, Mwandishi wa BBC ameandika namna ambavyo serikali imekuwa ikiyadhibiti maisha ya watu.
1) Kadi za simu ni gharama
Mtandao wa simu unaomilikiwa na serikali, Eri Tel ndio pekee unaotoa huduma za mawasiliano. Huduma zinazotolewa ni mbaya, na unadhibitiwa vikali na serikali.
Ripoti ya Shirikisho la kimataifa kuhusu masuala ya mawasiliano inasema kupenya kwa huduma za mtandao wa intaneti nchini Eritrea ni juu ya asilimia 1.
Wananchi wanapaswa kujisajili serikalini ili kupata kadi ya simu.
Na hata ukupata kadi, huwezi kuitumia ili kupata mtandao wa intaneti kwa sababu hakuna data.
Watu hulazimika kupata mtandao wa kutumia WiFi, lakini mtandao uko chini sana. Kuingia kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook na Twitter, watu hutumia mtandao wa VPN (virtual private network) ili kuzuia udhibiti wa serikali.
Kwa kuwa kuna ugumu mkubwa wa kupata kadi za simu, watu bado wanategemea simu za Umma za kulipia kabla ya mazungumzo.
2) Watu hutoa hela ndani ya benki pekee
Hela ya Eritrea
Serikali imeweka sheria kali kuhusu kiasi cha fedha kinachotolewa na wateja wa benki kutoka kwenye akaunti zao.
Hata kama wana mamilioni ya fedha katika akaunti zao, wanaruhusiwa kutoa kiasi cha dola za Marekani 330 kwa mwezi.
Wafanyabiashara hupendelea kuwa na fedha mkononi kwa kuwa mzunguko wa fedha ni mdogo.
Hakuna mashine za kutoa fedha (ATM) nchini Eritrea .Ikiwa kuna shughuli ya harusi siku za usoni, na wahusika wakihitaji fedha zaidi, huomba barua ya kibali kutoka serikalini kwenda benki , na kuruhusiwa kutoa zaidi ya kiasi kilichowekwa na serikali.
Raia wa Eritrea wametoa maoni tofauti kuhusu sababu za serikali kuweka vikwazo katika kutoa fedha. Baadhi wanasema nia ya serikali ni ''kujenga tabia za watu wenye kujiwekea akiba na kupambana na gharama za maisha'' wengine wakisema kuwa ''serikali haipendi shughuli za kibiashara. Hivyo kudhibiti mzunguko wa fedha''.
3) Kuna televisheni moja pekee nchini humo.
Watu wengi wanapenda kutazama chaneli za kigeni za televisheni
Eri-Tv ni televisheni pekee iliyo nchini ya serikali ya Eritrea. Ni chombo kinachoisemea serikali, lakini ukiwa na satelaiti unaweza kutazama televisheni nyingine za kimataifa.
Kamati ya kutetea waandishi wa habari (CPJ) inatazama kwa karibu suala la uhuru wa vyombo vya habari nchini Eritrea, ikiitaja kuwa nchi inayodhibiti zaidi uhuru wa vyombo vya habari'', nyuma ya Korea Kaskazini.
Hatahivyo, Waziri wa habari Yemane Meskel anasema kuwa asilimia 91% ya nyumba za watu zina mabeseni ya satelaiti.
4 ) Vijana wadogo wanataka kuondoka
''Kupata pasi ya kusafiria ni kama ndoto iliyokuwa kweli,'' anasema kijana mmoja.
Lakini anasema vijana hawapewi pasi za kusafiria mpaka baada ya kufuzu mafunzo ya jeshi.
Wengine huhatarisha maisha kwa kufanya safari wakivuka bahari ya Mediterrania ili kufika Ulaya, wengi hufa kutokana na njaa na kiu kwenye jangwa na baharini.
Wewe na wenzako hamjui mnachoongea. Eritrea na Ethiopia walianza hivi hivi kama Jiwe anavyo-jimwambafai. Mara hiki kimezuiwa leo, mara kile kimezuiwa kesho. Mwisho wakafika hapo walipo leo. Kama hamna akili ni vizuri kunyamaza na kula ugali wenu kimya kimya na kuwaacha wenye akili walinde uhuru wenu wa kikatiba.
NakusalimiaKama raia wao walizamia Tanzania........basi Eritrea ni sawa na kule kwa lusiferi.........
Si Afrika tu bali hata Ulaya. Mpaka leo Ulaya na hasa Ujerumani inajiuliza swali hilo hilo. "Hivi mtu mmoja anawezaje kuwaburuza mamilioni ya watu atakavyo?"Hivi inakuwaje mtu mmoja anaweza kuwaburuza mamilioni atakavyo?.Ndio kusema Africa hamnaga wana mapinduzi wa kweli.
jamaa alikuja nae mmoja,wahuni pale airport wakamporaDuh! Huko inatakiwa ukienda unamuiba mmoja au wawili unakuja nao huku kwetu
ukiwa na malaria 1 bado unaumwa hata kama icu kuna mtu hajitambui kwa maradhi,haiponyi maradhi yakoZitto Kabwe anayelalamika udikteta aende akaishi huko ili auone udikteta wa kweli unafanana vipi.
Mtu analia kunyimwa uhuru wa habari wakati akijisikia tu anaweza kupeleka andiko lake ni likachapishwa gazetini.
Chadema walisema ni udikteta uchwara. Wana akili za kutofautisha kuwa hapa kwetu siyo udikteta kamiliHuko panawafaa Chadema wakajue maana ya udikteta.