Erickb52 Ujio Wako Unasubiriwa Kwa Hamu

Erickb52 Ujio Wako Unasubiriwa Kwa Hamu

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Posts
9,346
Reaction score
3,033
kwa:
Erickb52 .
my brother , nategemea ujio wako katika kuweka mambo safi, hasa ki uchumi hali imekua mbaya miradi uliyo waachia wasimamizi wako wanahonga ovyo ovyo huku hasa huyu Bishanga . Pia amani ilitoweka tunashukuru busara na hekima za Arushaone na Buchanan kuepusha mtu kupasuliwa matumbo, ilibaki kidogo mdogo wako anyee debe kwa wiki mbili kwenye server na hili lilitokana na jukwaa kuvamiwa na wasio na nidhamu, pia tumekosa hekima na busara zako.
 
Last edited by a moderator:
Dah! Basi bwana, kwaiyo hata CC sasa ivi amekua wa kutoa like tu, hataki hata kutusalimia?
Tarehe tajwa hapo kwa Erickb52 hatakuwa na nafasi kwa kuwa atakuwa na kazi maalum ya kuiratibu ndani ya Arusha Wing majira ya kuanzia saa kumi jioni hata mpaka saa mbili jioni!

manoah uwepo wa Erickb52
 
Last edited by a moderator:
kapistrano; Duh! Huyu Mr Rocky; kwa kweli bado hajawa on line na jukwaa..............tunamsikilizia kwanza! Raha jipe mwenyewe bana!

kaka umepotea si mchezo haukupata salamu zangu kutoka kwa kaka mkubwa Arushaone kuwa n'naoa kesho kutwa bint kigori mary Hunbig?? Nadhani hautakosa harusi hiyo.
 
Last edited by a moderator:
am fine my brother Arushaone nilikua namtania Blaki Womani ila tukijaliwa nitaenda maana nime shiriki tayali katika kutoa mchango. nasubiri siku yenyewe ya nishiriki katika sherehe .
Hello manoah, umeandikwa jina na Mtambuzi then unasema huendi na pengine uliandika kuwa hata mchango hukutoa. Nifungulie mabano please.
 
Last edited by a moderator:
We manoah hivi hujui Erickb52 kateuliwa kuwa mwokota mipira Afcon,subiri mashindano yaishe ndo utamwona.
Umenionea wapi Mamndenyi? Namtafuta jana alinipa miadi hakuja.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom