CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
heheheiyaa! Bisha ya kuwa hukuwa kwenye teksi na Erickb52? Hiyo bedrest unayomdanganyia C6?
Eliza Eliza Eliza...! Unataka C6 anitunge busha? Yan ndo nashtuka halafu sijajua niko wapi. Ngoja charminglady aamke nimuulize tuko wapi
maskini Erickb52! Kumbe hata hawakuwa wameanza!
Kwani hapa ilikuwaje Erickb52? Kamuhanda hatumii tena Bomu la machozi? Picha hii kwa hisani ya Elizabeth Dominic ila kaniambia nisiseme
mamaaa yangu!
Erickb52 haya yote ananirushia Elizabeth Dominic! Sijui umemfanya nini huko Mwanza!
Siongezi neno
Tena? Elizabeth Dominic.....
Nicas Mtei bora tumeitoa kabisa hapa ili wadau wa chitchat wajue kuliko mngeona kwenye magazeti pendwa, yaani hapa ndio kumsitiri kwenyewemfichieni aibu jamani. Loh! Erick Erick
ha ha ha haaaaaa nilijua tu nikisema neno kufededwa Kaizer atatoka atokako.................bwa ha ha ha!