Erick Shigongo ni bora ungekaa kimya tu

Erick Shigongo ni bora ungekaa kimya tu

Aandike nini wakati ni kada kindakindaki? Halafu ni mgombea ubunge mtarajiwa kwa hicho chama chake cha kijani na njano chenye jembe na nyundo.Akiandika ya walilia demokrasia magazeti yake yatasemwa hayaandiki maadili mazuri ni udaku tu yafungiwe na atafilisika kisha atakosa kupitishwa kugombea ubunge.Anafanya ni win to win situation,hiyo ndiyo michezo ya kisiasa kwa maslahi binafsi kwa kuacha kuandika ukweli wa mambo yanayoonekana
 
Wajasiliasiasa na wanasiasa halisi tutawafahamu awamu hii.
 
Kwanini tusifanye kama black america kusisia media zake..uanzishwe uzi wa kuhamasisha kutonunua kazi za vibaraka kama shigongo mzee wa chuki..kumbuka enzi za Amina chifupa..huyu jamaa huwa anatumia media zake kuleta chuki na mifarakano katika jamii
 
Japokuwa kila mtu anayo haki kikatiba ya kutoa maoni yake, lakini wewe ni bora ungekaa kimya tu.

Tuache sisi tupige kelele kulilia Demokrasia na heshima ya nchi yetu iliyopotea kwa miaka miwili iliyopita.

Leo hii wewe unamwomba Rais Magufuli akutane na viongozi wa dini? wakutane ili iweje?

Umesahau kalamu yako? Unakumbuka ulichokuwa unaandika gazetini kumpigia debe Magufuli?

Unakumbuka jinsi ambavyo ulikuwa unakosa usingizi kwa hofu ya Lowassa akiwa Rais kampuni zako zitafilisika?

"Vipi mume wangu,mbona hadi sasa umeshindwa kulala? "
"Lowassa " .
"Aah, Lowassa hawezi kushinda wewe lala ".

Nimekunukuu andiko lako mwenyewe ktk gazeti la Ijumaa Wikienda.
Watu werevu tulidhani labda ulikuwa na ugomvi binafsi na Lowassa, kumbe una chuki kubwa mno na wapinzani, sikuwahi kutarajia mtu aliyepita mapito magumu kimaisha na mcha Mungu,eti umchukie mtu ambaye hajakukosea lolote.

Wapinzani tunapita ktk kipindi kigumu mno kuwahi kutokea chini ya awamu hii ya tano.

Na hadi sasa hivi viongozi wa dini walipotoa waraka wao kwa serikali kuitaka iheshimu katiba na kurekebisha hali ngumu ya uchumi iliyopo, wamekutana na majibu ya kejeli kuanzia CCM hadi kwa Rais mwenyewe.

Wana ccm wanawaita viongozi wa dini ni vibaraka wa upinzani, na rais kasema kuwa waombe viwanda vya dawa vijengwe na siyo kutoa waraka usio na mantiki.

Sasa wewe unashauri nini wakati ulikuwa hulali Ukitaka Magufuli ashinde?

Humu mitandaoni kuna jeshi kubwa la wana CCM wenzako ambao hawajawahi kuona kasoro zozote za rais Magufuli, kazi yao kubwa ni kusifia tu kila afanyalo rais, kwa nini usiungane nao kusifia, tena una vyombo vya habari.

Sioni sababu kwa nini unalalamika, ni bora ukae kimya kwa sababu utaonekana mnafiki sana.

Unakumbuka pia uliunga mkono Rais Magufuli alivyovunja katiba kwa kupiga marufuku mikutano ya kisiasa?

Mimi ni msomaji Sana wa makala zako, uliandika hivi.

"Rais Magufuli yupo sawa kabisa, muda wa siasa umeisha, huu ni muda kufanya kazi ".

Ulishabikia Rais kuvunja katiba, kwa sababu katiba inaruhusu shughuli za vyama vya siasa na mikusanyiko yake.

Wanacholilia viongozi wa dini ni kile ambacho wewe Ulishabikia kiharibiwe.
Ndo maana nimekuambia kuwa ni bora tu ukae kimya.

Mwache Rais Magufuli afanye kazi, na tuache siye tulie, wewe kaa upande uliochagua.
Dah! Umemvua nguo huyo jamaa wa kipindi cha mama na mwana. Manake ndio anajua kutunga hadithi zaidi..
 
Wewe umesema pointi kabisa. Hawapendi kwa sababu wao wanatafuta madaraka na siyo hiyo demokrasia wanayoisema. Nitajie nchi gani barani Afrika ambayo haiku was na demokrasia ila walipoingia wapinzani ndiyo wakawa na demokrasia hiyo waliyoihubiri majukwaani.
Nenda mitandaoni kwa yule chizi Mange, yeye anatukana watu asiowataka matusi ya nguoni eti anatafuta haki na demokrasia nchini. Cha ajabu ukimpinga tu (na wala hukumtukana) basi anakupiga ban. Sasa huyo anataka demokrasia? Akiingia madarakani ataiishi?
Wewe ukiona Mange anakupiga ban hamia kwa humphley polepole utakuwa umemkomesha na waambie wenzako wote mnaomchukia Mange hamieni kwa Polepole mtakuwa mmemkomesha sana na mkiona insta kwa polepole kumechacha boresheni akaunti zenu mwenye shida atawafata.. kama ulivyosema Mange chizi mkiendelea kumfatafata atakuja kuwa..ni midole sisi hatuta mcheka mange coz ni chizi ila tutawacheka nyinyi kwa shughuli aliowafanyie...
 
Hivi walishamlipa hela zake za t shirts na kofia. Maana alikua analilia kuomba huruma kwa wananchi wakati ushabiki kafanyia chumbani. Ngoja mikopo imrudishe chini kama shetani
 
Itakuja kufika kipindi huyu Magu atapingwa na watu wengi sana, hata mke na watoto wake watajitenga nae huyu Shetani Magu.
 
Kwanza we mzee usha lipwa ela zako za kufanya unafki 2015?
 
Desert Voice huna lolote wala hujui CDMmaana Yake nini. Huna Democras huna maendeleo iweje uwazuie watu kujieleza maoni yao ujieleze wewe tu? Kila mtu ana maoni yake. Na wewe ukome kuleta fyokofyoko jf, jf maana yake maoni ya jamii, Shigongo mwanajamii kama wewe na mimi na wengine, kachungulie kwanza chupi ya kimambi mwenye adabu ya kutukana viongozi wa dini
 
Shigongo hajawahi kua na akili ndio mana kazi yke ni kucopy riwaya,akili zke kma za bashite
 
Japokuwa kila mtu anayo haki kikatiba ya kutoa maoni yake, lakini wewe ni bora ungekaa kimya tu.

Tuache sisi tupige kelele kulilia Demokrasia na heshima ya nchi yetu iliyopotea kwa miaka miwili iliyopita.

Leo hii wewe unamwomba Rais Magufuli akutane na viongozi wa dini? wakutane ili iweje?

Umesahau kalamu yako? Unakumbuka ulichokuwa unaandika gazetini kumpigia debe Magufuli?

Unakumbuka jinsi ambavyo ulikuwa unakosa usingizi kwa hofu ya Lowassa akiwa Rais kampuni zako zitafilisika?

"Vipi mume wangu,mbona hadi sasa umeshindwa kulala? "
"Lowassa " .
"Aah, Lowassa hawezi kushinda wewe lala ".

Nimekunukuu andiko lako mwenyewe ktk gazeti la Ijumaa Wikienda.
Watu werevu tulidhani labda ulikuwa na ugomvi binafsi na Lowassa, kumbe una chuki kubwa mno na wapinzani, sikuwahi kutarajia mtu aliyepita mapito magumu kimaisha na mcha Mungu,eti umchukie mtu ambaye hajakukosea lolote.

Wapinzani tunapita ktk kipindi kigumu mno kuwahi kutokea chini ya awamu hii ya tano.

Na hadi sasa hivi viongozi wa dini walipotoa waraka wao kwa serikali kuitaka iheshimu katiba na kurekebisha hali ngumu ya uchumi iliyopo, wamekutana na majibu ya kejeli kuanzia CCM hadi kwa Rais mwenyewe.

Wana ccm wanawaita viongozi wa dini ni vibaraka wa upinzani, na rais kasema kuwa waombe viwanda vya dawa vijengwe na siyo kutoa waraka usio na mantiki.

Sasa wewe unashauri nini wakati ulikuwa hulali Ukitaka Magufuli ashinde?

Humu mitandaoni kuna jeshi kubwa la wana CCM wenzako ambao hawajawahi kuona kasoro zozote za rais Magufuli, kazi yao kubwa ni kusifia tu kila afanyalo rais, kwa nini usiungane nao kusifia, tena una vyombo vya habari.

Sioni sababu kwa nini unalalamika, ni bora ukae kimya kwa sababu utaonekana mnafiki sana.

Unakumbuka pia uliunga mkono Rais Magufuli alivyovunja katiba kwa kupiga marufuku mikutano ya kisiasa?

Mimi ni msomaji Sana wa makala zako, uliandika hivi.

"Rais Magufuli yupo sawa kabisa, muda wa siasa umeisha, huu ni muda kufanya kazi ".

Ulishabikia Rais kuvunja katiba, kwa sababu katiba inaruhusu shughuli za vyama vya siasa na mikusanyiko yake.

Wanacholilia viongozi wa dini ni kile ambacho wewe Ulishabikia kiharibiwe.
Ndo maana nimekuambia kuwa ni bora tu ukae kimya.

Mwache Rais Magufuli afanye kazi, na tuache siye tulie, wewe kaa upande uliochagua.
Huyu jamaa na Fred Mpendazoe nawaona mazuzu.Shigongo mwehu.
 
Na siyo kufikiri tu, wanataka madaraka!
Wanajua kwa kura hawawezi!
Chaguzi ndogo zimeshatoa indication kuwa hata mjini kama Kinondoni hawauziki.
Sasa wanalazimisha vurugu na maandamano !
Eti Rais aliyechaguliwa kwa kura(Sauti ya Wengi) hafai! Alafu wao wanaoendesha chama kidikteta hadi wanakimbiwa na viongozi wanajiona wanafaa! Hii dunia haiishi maajabu!
Mjinga wa rumumba katika ubora wake
 
Huyu si Msukuma mmesahau
Japokuwa kila mtu anayo haki kikatiba ya kutoa maoni yake, lakini wewe ni bora ungekaa kimya tu.

Tuache sisi tupige kelele kulilia Demokrasia na heshima ya nchi yetu iliyopotea kwa miaka miwili iliyopita.

Leo hii wewe unamwomba Rais Magufuli akutane na viongozi wa dini? wakutane ili iweje?

Umesahau kalamu yako? Unakumbuka ulichokuwa unaandika gazetini kumpigia debe Magufuli?

Unakumbuka jinsi ambavyo ulikuwa unakosa usingizi kwa hofu ya Lowassa akiwa Rais kampuni zako zitafilisika?

"Vipi mume wangu,mbona hadi sasa umeshindwa kulala? "
"Lowassa " .
"Aah, Lowassa hawezi kushinda wewe lala ".

Nimekunukuu andiko lako mwenyewe ktk gazeti la Ijumaa Wikienda.
Watu werevu tulidhani labda ulikuwa na ugomvi binafsi na Lowassa, kumbe una chuki kubwa mno na wapinzani, sikuwahi kutarajia mtu aliyepita mapito magumu kimaisha na mcha Mungu,eti umchukie mtu ambaye hajakukosea lolote.

Wapinzani tunapita ktk kipindi kigumu mno kuwahi kutokea chini ya awamu hii ya tano.

Na hadi sasa hivi viongozi wa dini walipotoa waraka wao kwa serikali kuitaka iheshimu katiba na kurekebisha hali ngumu ya uchumi iliyopo, wamekutana na majibu ya kejeli kuanzia CCM hadi kwa Rais mwenyewe.

Wana ccm wanawaita viongozi wa dini ni vibaraka wa upinzani, na rais kasema kuwa waombe viwanda vya dawa vijengwe na siyo kutoa waraka usio na mantiki.

Sasa wewe unashauri nini wakati ulikuwa hulali Ukitaka Magufuli ashinde?

Humu mitandaoni kuna jeshi kubwa la wana CCM wenzako ambao hawajawahi kuona kasoro zozote za rais Magufuli, kazi yao kubwa ni kusifia tu kila afanyalo rais, kwa nini usiungane nao kusifia, tena una vyombo vya habari.

Sioni sababu kwa nini unalalamika, ni bora ukae kimya kwa sababu utaonekana mnafiki sana.

Unakumbuka pia uliunga mkono Rais Magufuli alivyovunja katiba kwa kupiga marufuku mikutano ya kisiasa?

Mimi ni msomaji Sana wa makala zako, uliandika hivi.

"Rais Magufuli yupo sawa kabisa, muda wa siasa umeisha, huu ni muda kufanya kazi ".

Ulishabikia Rais kuvunja katiba, kwa sababu katiba inaruhusu shughuli za vyama vya siasa na mikusanyiko yake.

Wanacholilia viongozi wa dini ni kile ambacho wewe Ulishabikia kiharibiwe.
Ndo maana nimekuambia kuwa ni bora tu ukae kimya.

Mwache Rais Magufuli afanye kazi, na tuache siye tulie, wewe kaa upande uliochagua.
baada ya jK kumyima Ubunge anautafuta kwa uvumbi...mtanambia 2020 kama hajalichukua lile jimbo lilomshinda...watu wamejitoa akili cku hizi
 
Wewe umesema pointi kabisa. Hawapendi kwa sababu wao wanatafuta madaraka na siyo hiyo demokrasia wanayoisema. Nitajie nchi gani barani Afrika ambayo haiku was na demokrasia ila walipoingia wapinzani ndiyo wakawa na demokrasia hiyo waliyoihubiri majukwaani.
Nenda mitandaoni kwa yule chizi Mange, yeye anatukana watu asiowataka matusi ya nguoni eti anatafuta haki na demokrasia nchini. Cha ajabu ukimpinga tu (na wala hukumtukana) basi anakupiga ban. Sasa huyo anataka demokrasia? Akiingia madarakani ataiishi?
Ngoja nikusaidie lengo moja kuu la chama chochote cha upinzani duniani ni kushika dola so kuwa na mawazo mbadala sio kosa ndo maana wakaitwa wapinzani...hata kama kitu kikiwa sawa machoni pako ye akikipinga ni sawa ndo maana wakaitwa wapinzani..
 
Back
Top Bottom