Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Sometimes kukiri kosa haina maana umefanya kosa. Unafanya hivyo kutokana na mazingira na hali halisi ilivyo. Ni sawa mwanaume kuminywa ... bro, nakuhakikishia utakubali anaekubinya anataka nini hata kama sio kwa hiari yako. Tema mate chini uache yanayoendelea yasikukute na tambua tu kila lenye mwanzo lina mwisho..
 
Mi naamini hakuyafanya hayo japo amekiri mwenyewe kwa kinywa chake naamini ni baada ya kuona maji yanafika kwa shingo akaona akikubali anaweza kuomba huruma ya kupunguziwa faini na adhabu akalipa kiasi ili awe huru na yaishe.

kule jmn sio kuzuri alikuwa anateswa sasa anaanzaje kusema alikua anateswa hivi mnajua hawa mapoliccm lakini au mnawaskia manjua alivokuwa anaumia huko nyie mkila kila kitu mtakacho na kushinda mitandaoni na kuandika kila mnalojiskia!!
 
Mbona huna Uzi wowote unaotetea wanaharakati, sasa sisi tutaaminije kwel ulikua unatetea wanaharakati.

Na ID yako ya zamani IPI ili tujue
Sizani Kama hii habari ndio ya kukufanya ufungue ID mpya
Nadhani hapa unazidi kuonyesha ni jinsi gani ulivyo mnafiki tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kakiri kutakatisha fedha Million 172!? May be the Government was right afterall.....:)
 
"alikuwa akionyesha Ujeuri wake wa Kimajivuno ambao pia uliratibiwa vyema tu na Asili ya Kabila lake analotoka."Bwengaaaa!!!!,aka Nshomileeeee!!!!!
 
Pole sana mwandishi, inaelekea wewe ni mgeni wa jela ungejua kuwa mbali na msoto wa kupewa mkong'oto kunakugeuzwa kuwa chakula cha wafungwa na mahabusu wenzako, usingemulaumu mlengwa kwa kuwa hakukusudia kufanya.

hivyo, na kukiri kwake hakuthibitishi kuwa alitenda, isipokuwa anaweza akawaamefanya hivyo kwa kujiokoa na msoto wa gerezani ameona ni heri aokoe uhai wake kwa kulipa fedha ambazo zinatafutwa na aliye hai na hazitafutwi na marehemu.
 
Back
Top Bottom