Upeo wake ni finyu sana maana kauli alizotoa ni tata, mtu mzima hawezi kuongea hivyo. Anasema Wakenya na Waganda wanatudharau sana Watanzania.
Hoja aliyokuwa anaongelea na kuwahusisha waTZ wote ni mtafaruku wake binafsi na Jose Chameleone.
Anajenga chuki baina ya mataifa mawili kwa masuala yake binafsi.
Nimejua ni kwa nini yeye ni mkurugenzi wa udaku na up upu Tz.
Linatoka J3 hilo gazetiJamaa anagazeti linaitwa ijumaa wikenda afu linatoka j4 huu c uchzi?
Kinachofurahisha kuhusu mitandao ya internet ni kwamba mtu hawezi kuujua mtandao ambao hautembelei. Kwa hiyo Shogongo ni member wa JF lakini anauita mtandao wa kijinga. At the same time magazeti yake hayaishi kuchukua mijadala ya JF kuweka kwenye front page.
Huyu Shigongo kamjulia wapi Le Mutuz kama siyo JF. Baada ya kumuona Le Mutuz JF, kaenda kumbandika kwenye ukurasa wa mbele wa mojawapo ya vijarida vyake ili apate pesa ya mchuzi. Sasa anasema JF ya kijinga!!!
jamani muacheni mlokole wa watu. Anaongowa na roho.
kweli kabisa shigongo ameokoka....ila ameokoka kuanzia kifuani kwenda juu.
Unapigwa picha uko ndani kwako faragha, halafu unafuatwa utoe fedha ili habari isitoke.
ona hii;
AFANDE LIVE - Global Publishers
Huu ndio mchezo wa shigongo.
Akihojiwa na watoto wa Five connetc EATV, kuhusu issue yake na Chameleon wa Uganda, amesema comment za JF hazimnyimi usingizi coz ni Mtandao wa kijingkijinga...
Unaweza kuihukumu JF na watumiaji wake baada ya kusoma kilichomkera Shigongo kwenye hoja hizi chini:
Ref:
https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/290414-erick-shigongo-atiwa-kizuizini.html
&
https://www.jamiiforums.com/celebri...wa-kuondoka-nchini-na-shigongo-kisa-deni.html
&
https://www.jamiiforums.com/celebri...gongo-na-dr-jose-chameleone-sasa-imeanza.html
duuuuuuu!hii nomaaaaaaa...kwa hiyo down ni kwa shetani????
uwezo wake wa kufikiri upo shalow kama kingereza chake.....bora yangu mimi sikijui kabisa..:israel: