Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Mbunge wa Jimbo la Buchosa Eric Shingongo amesema baada ya bunge kuvunja tarehe 27 June mwaka huu basi yeye tarehe 28 June, 2025 ataenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Buchosa kwa mara nyingine tena.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amesema kuchukua fomu ni kwa sababu kazi aliyoianzisha bado ajaikamilisha.